SMZ na uchukuaji wa maeneo ya wazi (Open Space)

Kwa heshima kabisa naomba kuleta malalamiko yetu katika jukwaa hili kubwa la Jf.

Hivi sasa kisiwani Unguja kumekua na kasi kubwa ya ujenzi wa Majengo mbali mbali. Ni jambo la heri na jambo la kupongezwa na kwa hakika tunamuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu .

Jambo lilonifanya kuleta bandiko hili ni kua ujenzi huu unafanyika katika maeneo ya wazi ambayo tangia ukoloni maeneno haya yamewekwa kwa ajili ya michezo na watoto.

Viwanja maarufu vya Malindi ambavyo vipo karibu na bandari navyo vipo hatarini na serikali imeshatangaza rasmi kuvitwaaa kwa ajili ya ujenzi wa maegesho ya magari.

Ikumbukwe sehemu kubwa ya viwanja hivi imeshanyakuliwa na vigogo na hivo vilivyobaki navyo serikali inavitolea macho licha ya pingamizi kubwa kutoka kwa wakaazi wa maeneo hayo.

Hivyo kwa heshima na taadhima tunaiomba Serikali yetu tukufu ya SMZ na mpendwa Rais wetu , isitishe ujenzi huu kwa maslahi mapana ya vizazi vya sasa na baadae.

Na kwa wanachama wote wa JF mtusaidie kupaza sauti juu ya jambo hili.

Mungu awabariki nyote.

Tuipende nchi yetu.
Vizazi vya sasa na vyabadae vipi.?..wakati ka kisiwa kenyewe kameanza kujaa..mnazaliana kama panya..bado tukiwafurumisha huku Tanganyika si ndio mtakosa pakuishi...kaeni kutulia vijana wetu wafanye kazi tuliyowatuma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hopeless Deluded Idiot. Put your forked tongue behind your teeth u witless worm
 
Lazima tupaze sauti, viwanja vya malindi vina historia kubwa na ni pahala watoto wetu wanapocheza pamoja na sisi tunapofanya mazoezi
Historia ndio upumbavu gani wewe ?

Sasa kama pana historia kubwa ndio paachwe pasijengewe kisasa ?

Kwerekwe je paachwe tu ?

Mnazi mmoja hospital paacjwe tu kwa kuwa kuna historia kubwa ?
 
Sikujua JF kuna wajinga na wapumbavu kiasi hiki. Sasa kwa nini mji mkongwe kuna majumba mabovu lakini hayavunjwi , labda jumba lianguke lenyewe na linabidi lijengwe kwa mawe vile vile kama lilivokua? Na kwa nini mji mkongwe unalindwa na UNESCO? ni kwa sababu is historia . Mtu uko biharamulo huko ata hujui maana ya Open Space or Public park halafu unakuja kuchangia hapa
 
Sasa Malindi kuna umbali gani na viwanja vingine? Sehemu zipo nyingi tuu nenda Chumbuni , Mnazi mmoja, Hapo jirani na kituo cha polisi Madema au hata kiembe Samaki nyuma ya Msikiti wa Mazizini hapo,
Wacha wajenge
 
Pigeni ukunga kama wa buku jero hivi labda watawasikia huku Bara sisi tulipiga ukunga wa buku kuhusu ngorongoro lakini wapi na bado lile eneo akapewa muarabu.
 
Sasa Malindi kuna umbali gani na viwanja vingine? Sehemu zipo nyingi tuu nenda Chumbuni , Mnazi mmoja, Hapo jirani na kituo cha polisi Madema au hata kiembe Samaki nyuma ya Msikiti wa Mazizini hapo,
Wacha wajenge
Acha ujinga, mtoto wa miaka 5 utamwambia aende Chumbuni una akili wewe?
 
Viwanja vya MALINDI vimetoa wachezaji mahiri waliocheza TAIFA ya Zanzibar na Tanzania.

Ubwa Makame,
Ali Nassir Kibichwa,
NASSOR Mwinyi Bwanga,
MOHAMMED Golo,
Amour Aziz,
Ali Bushir,
Seif Bausi,
Haki Mwinyi,
Vialli
Thuweni Ali,
Zahor Salum.

Na wengi wengi mno nisiowakumbuka.

Hao wachezaji generation tofauti na wengine walipata ajira ya kuchezea vilabu vya nje.

Wote hao vipaji vyao wamevikuzia viwanja vya MALINDI tokea udogoni mwao mpaka wakapata mafanikio kisoka
 
Sikujua JF kuna wajinga na wapumbavu kiasi hiki. Sasa kwa nini mji mkongwe kuna majumba mabovu lakini hayavunjwi , labda jumba lianguke lenyewe na linabidi lijengwe kwa mawe vile vile kama lilivokua? Na kwa nini mji mkongwe unalindwa na UNESCO? ni kwa sababu is historia . Mtu uko biharamulo huko ata hujui maana ya Open Space or Public park halafu unakuja kuchangia hapa
Sasa mbona unashangaa hiyo sehemu kuvunjwa wakati kuna maeneo mengine ya historia yamehifadhiwa ?
 
Lazima tupaze sauti, viwanja vya malindi vina historia kubwa na ni pahala watoto wetu wanapocheza pamoja na sisi tunapofanya mazoezi
Namuunga mkono Dr mwinyi kwa maamuzi yake,lile eneo linaharibu taswira ya Zanzibar kwa kuwa ile ndio View ya Wanzanzibar ila imekaa kilocal sana.Wakati umefika sasa wa kubadilisha matumizi ya eneo lile na ikiwezekana kijengwe kitu kimoja kikali sana ili muonekano wa Zanzibar ubadilike,heko Dr mwinyi kwa jitihada zako.kama maeneo ya mazoezi waende aman kuna sehemu kubwa ya viwanja.
 
Nyie watu mlokua hamjui mipango miji mnatokea wapi? Hii ndo athari ya kukukulia vijijini mnakua bendera fata upepo mkipewa khanga tu mnatoa Kura. Majina yote hayo unajiita kunguru, uwezo wako wa kufikiri mdogo sana
 
Kwa heshima kabisa naomba kuleta malalamiko yetu katika jukwaa hili kubwa la Jf.

Hivi sasa kisiwani Unguja kumekua na kasi kubwa ya ujenzi wa Majengo mbali mbali. Ni jambo la heri na jambo la kupongezwa na kwa hakika tunamuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu .

Jambo lilonifanya kuleta bandiko hili ni kua ujenzi huu unafanyika katika maeneo ya wazi ambayo tangia ukoloni maeneno haya yamewekwa kwa ajili ya michezo na watoto.

Viwanja maarufu vya Malindi ambavyo vipo karibu na bandari navyo vipo hatarini na serikali imeshatangaza rasmi kuvitwaaa kwa ajili ya ujenzi wa maegesho ya magari.

Ikumbukwe sehemu kubwa ya viwanja hivi imeshanyakuliwa na vigogo na hivo vilivyobaki navyo serikali inavitolea macho licha ya pingamizi kubwa kutoka kwa wakaazi wa maeneo hayo.

Hivyo kwa heshima na taadhima tunaiomba Serikali yetu tukufu ya SMZ na mpendwa Rais wetu , isitishe ujenzi huu kwa maslahi mapana ya vizazi vya sasa na baadae.

Na kwa wanachama wote wa JF mtusaidie kupaza sauti juu ya jambo hili.

Mungu awabariki nyote.

Tuipende nchi yetu.
Ally Hassan Mwinyi alikwapua open space zote nchi Tanzania na kuwapa waislamu wajenge misikiti, hii ni tabia yenu waZanzibari, tuache kuoneana aibu na tuambiane ukweli.
 
Back
Top Bottom