Joka Kuu kaka yangu..kunaweza kukawa na viwango vya kodi wa wa-Zenj.
..halafu kikawekwa kiwango kingine kwa wa-Bara wanaotaka kuweka makazi na uwekezaji Zenj.
..haki itatendeka kama baada ya muda fulani wa kuishi Zenj, m-Bara akawa na haki sawa kama wa-Zenj, na kuruhusiwa kulipa kiwango cha kodi kinacholingana na wa-Zenj wengine.
unajikanyaga. Hakuna tatizo hapo . Bara hamtaki kuwapa Zanzibar yale ambayo kwa mujibu wa Muungano wetu ule!!!- ni yao. Sasa, kinyume cha hapo - sijui nichangie mara ngapi katika forum yenu. Tubakie katika makubaliano. Ya wa Zenj ni ya Wa -zenj msiwaingilie. na ya Muungano ni ya muungano tuyachukue pamoja. Lakini mafuta - Laa . Ni ya Zenj. Na mapunjo mengine - PIA HATUKUBALI