Sneakers

Wote walewale tu, ila kuna siku nijitia uchizi Neiman Marcus, nikatoka na sneakers pair moja!.

Hiyo nahisi ilikuwa labda Nike Air Max 90.....manake mara moja moja hizo unaweza ukazibabatiza huko...tena kwenye clearance rack....[just kidding].
 
Hiyo nahisi ilikuwa labda Nike Air Max 90.....manake mara moja moja hizo unaweza ukazibabatiza huko...tena kwenye clearance rack....[just kidding].
Hahaaa... Neiman huwa naingia mzima mzima aisee, hizo za kwenye clearance rack ukizitaka unazivizia kule Eastbay, unaweza kuibua kitu safi kwa bei poa kabisa!.
 
Hey Kui, I've got some Rene Caovilla - Swarovski Embellished Lace kicks for you.

Get your swag on fleek each time you hit the gym to work on them glutes😉.

View attachment 334579

Daaamn!,...these are nice!

I'll go from 1 hour in the gym to 2 hrs, dedicating the whole hour just for 'legs stretching' 🙂
 
I love the traditional sneakers shape like this. Hizi za siku hizi za kina dia muslimond mtu anakuwa kama mkoma sijawahi kuzielewa.

Nice ones trainer
Hey Kui, I've got some Rene Caovilla - Swarovski Embellished Lace kicks for you.

Get your swag on fleek each time you hit the gym to work on them glutes😉.

View attachment 334579
 
Hizo OG kbs ila usiende kariakoo utaambulia majagi, maplastic.
 
I love the traditional sneakers shape like this. Hizi za siku hizi za kina dia muslimond mtu anakuwa kama mkoma sijawahi kuzielewa.

Nice ones trainer

Hizo zinazoitwa sijui 'supra' ni za vijana wa siku hizi.

Mi pia niko kama wewe. Napendelea zaidi classics!
 
Kanye West's Yeezy sneakers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…