Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Wote walewale tu, ila kuna siku nijitia uchizi Neiman Marcus, nikatoka na sneakers pair moja!.
Hiyo nahisi ilikuwa labda Nike Air Max 90.....manake mara moja moja hizo unaweza ukazibabatiza huko...tena kwenye clearance rack....[just kidding].