Sneakers

Pole kwa kukwazika.
Jinsi ya kuzipata, copy hayo majina yao magumu ingia google. Kuna njia ya kununua online. Unaweza pia kuingia ebay ukasaka humo na kujiagizia mwanawane.
Mkuu pole sana kwa kuumia, lakini naona ume boogy step. Hili jukwaa tuna share na kujifunza mapya yaliyojiri ktk ulimwengu wa mitindo.
Jukwaa la Complaints lingekufaa zaidi.
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…