mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ukiacha suaka la kuvuta bangi hakuna evidence yoyote kuwa snoop ni muhuni.
Amedumu kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 30 na girl friend wake wa tangu college.
Yoke very close na baba yake mzazi japo hapo awali alimtellekeza,yaani yupo close na baba yake kuliko mama yake
Yupo close na familia mke,watoto na wajukuu.
Uhuni unaouona kideoni ni maigizo tu,jamaa hana noma
We unajifanya mtu wa Mungu ndoa imekushinda sasa nani Muhuni hapo,ndoa ni kipimo kimoja wapo cha uhuni