Snoop Dogg sio muhuni kama tunavyomchukulia

Snoop Dogg sio muhuni kama tunavyomchukulia

Kutofata utaratibu ambao jamii imejiwekea,kama kufanyakazi,ndoa,ustaarabu,kufata sheria za nchi ,kufata tamaduni kama mavazi
Kama umeenda sehemu ukakuta wenyeji wa eneo hilo hawana utaratibu wa kuabudu wala hawataki kusikia kuhusu Mwenyezi Mungu.

Wewe ukaamua ujiwekee utaratibu angalau wa kuswali/kusali kumuabudu Mungu je na wewe ni muhuni?
 
Huyu jamaa sijawahi kumuona kama ni muhuni zaid ya kuwa chepe fulani tu hivi
 
Snoop ni muhun anayefata principles , ukienda nje principles umeisha
 
Back
Top Bottom