Wahuni hawapatani na polisi, hivyo wana namna flani wametengeneza sheria zao, wametengeneza hukumu zao n.k wana mtindo wao kipekee wa kiuongozi na uwajibikaji.
Mfano wanafanya biashara kinyume na sheria wanapo dhulumiana hakuna kwenda polisi, wanamalizana kivyao.
Wengi wamekulia maisha hayo ya kitaa baadae wakaamua kuachana navyo, ndio kama hawa kina Snooo, Dr Dre, 50 cent, Akon n.k..
Wale jamaa ukiwasikiliza hata wanavyoongea wana madini sana ya maisha. Ndio maana huwezi nikuta namsikiliza Jay Melody zaidi ya kujua ngono hakuna lolote.