Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Angeshakufa siku nyingi sana. Blacks hawanaga mbili kwenye swala la kujihusisha na dolaSnoop ni FBI,anashutumiwa usnitch,siku tupac anakula chuma alikua bize na radio call miss hiyo,aliwataarifu awapendao wasiende kule ambako pac alikua anaenda,sababu kuna mtu ataenda kuumizwa
Unamaanisha hakuna blacks CIA, FBI,nsa nk!?..unabugi babuAngeshakufa siku nyingi sana. Blacks hawanaga mbili kwenye swala la kujihusisha na dola
Hujanielewa kiongozi, tuliza akili.Unamaanisha hakuna blacks CIA, FBI,nsa nk!?..unabugi babu
Jay Z wanasema nae ni FBISnoop hakuwa outlaw,unataka uthibitisho upi,orodha ya informants toka FBI?!
PossibleJay Z wanasema nae ni FBI
😄😄 Chaii...Jay Z wanasema nae ni FBI
Lakini mwamba si unaona bado yuko poa Sana..Mwana FA nimevuta nae sana
Kwani mimi unanionaje 😄Hata mi ninavuta ila niko powa
Wahuni hawapatani na polisi, hivyo wana namna flani wametengeneza sheria zao, wametengeneza hukumu zao n.k wana mtindo wao kipekee wa kiuongozi na uwajibikaji.Yeah maisha ya kigengster huwa yanazingatia sana kanuni, ukivunja kanuni kama adhabu yake inasema ni kifo watu wanaikoki wanaweka ya kichwa halafu wanaendelea na ratiba zingine.
Na hiyo ndio America ambayo wamekulia kina snoop jinsi ilivyokua, sasa kijana yeyote ambae amekulia kwenye hiyo misingi, yaani misingi ya sheria na utekelezaji wa hapo kwa hapo. Lazima anyooke kama rula.
Sure mkuu, wako na exposure kubwa sana na maisha.Wahuni hawapatani na polisi, hivyo wana namna flani wametengeneza sheria zao, wametengeneza hukumu zao n.k wana mtindo wao kipekee wa kiuongozi na uwajibikaji.
Mfano wanafanya biashara kinyume na sheria wanapo dhulumiana hakuna kwenda polisi, wanamalizana kivyao.
Wengi wamekulia maisha hayo ya kitaa baadae wakaamua kuachana navyo, ndio kama hawa kina Snooo, Dr Dre, 50 cent, Akon n.k..
Wale jamaa ukiwasikiliza hata wanavyoongea wana madini sana ya maisha. Ndio maana huwezi nikuta namsikiliza Jay Melody zaidi ya kujua ngono hakuna lolote.
Mashairi yao tu yanaonyesha walivyo smart kichwaniWahuni hawapatani na polisi, hivyo wana namna flani wametengeneza sheria zao, wametengeneza hukumu zao n.k wana mtindo wao kipekee wa kiuongozi na uwajibikaji.
Mfano wanafanya biashara kinyume na sheria wanapo dhulumiana hakuna kwenda polisi, wanamalizana kivyao.
Wengi wamekulia maisha hayo ya kitaa baadae wakaamua kuachana navyo, ndio kama hawa kina Snooo, Dr Dre, 50 cent, Akon n.k..
Wale jamaa ukiwasikiliza hata wanavyoongea wana madini sana ya maisha. Ndio maana huwezi nikuta namsikiliza Jay Melody zaidi ya kujua ngono hakuna lolote.
Nini maana ya uhuni?Ukiacha suaka la kuvuta bangi hakuna evidence yoyote kuwa snoop ni muhuni.
Amedumu kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 30 na girl friend wake wa tangu college.
Yoke very close na baba yake mzazi japo hapo awali alimtellekeza,yaani yupo close na baba yake kuliko mama yake
Yupo close na familia mke,watoto na wajukuu.
Uhuni unaouona kideoni ni maigizo tu,jamaa hana noma
We unajifanya mtu wa Mungu ndoa imekushinda sasa nani Muhuni hapo,ndoa ni kipimo kimoja wapo cha uhuni