Snoop Dogg smoked his first ever joint when he met Tupac for the first time

No, actually nimekupata vyema kabisa na nilikuwa tu na buttress hoja/ swali lako kwamba jamaa katoa declarative statement ambayo naona hakuifikiria wakati anaitoa.

Ndo nikauliza hayo maswali rhetorically.

But I could have framed my questions a bit better than I did.
 
One of Snoop's uncle taught him how to inhale, back in the seventies.. He was 8 or 9 according to his interview with Hiphop DX.
 
Toka lini mtu anajirekodi siku anaanza kuvuta bangi? Are u alright?

How ironic you'd ask if I'm all right. NN kauliza swali kama lako, nikaelezea, but here you're. Anyway, I'll break it down again for you, slowly. Nitakapokuacha usiogope kuuliza.

Umesema hii habari ya Snoop kuvuta kwa mara ya kwanza alivyokutana na Tupac ni uongo. That means sio tu una uhakika, bali pia unaweza kuthibitisha. Now, what's a better way of proving it, than with a video clip?

Capisce now? Grazie. The proof tafadhali.
 
Nenda you tube sasa hivi tafuta clip inayosema ...Cameron Diaz admits buying weed from Snoop Dogg in high school.Halaf urudi hapa utupe mrejesho.Mkuu mimi ni mtu makini.
 
Nenda you tube sasa hivi tafuta clip inayosema ...Cameron Diaz admits buying weed from Snoop Dogg in high school.Halaf urudi hapa utupe mrejesho.Mkuu mimi ni mtu makini.

Dude! You're the one defending your case, so go and look for that video and post the link please.

All right, let's say it's true. Hapa tunaongelea kuuza ama kuvuta, Mtu makini?
 
Dude! You're the one defending your case, so go and look for that video and post the link please.

All right, let's say it's true. Hapa tunaongelea kuuza ama kuvuta, Mtu makini?
Cheki hiyo ya Nyani Ngabu ujiridhishe zaidi...Kwangu mimi hai make sense auzie hadi mademu weed wakati yeye havuti...labda tu kama mtu anaamua kufanya ubishi tu usio na maana
 
Cheki hiyo ya Nyani Ngabu ujiridhishe Zaidi...

Smh! First off, sijaona clip yoyote zaidi ya maandishi. Now, if you question the words that's coming outta the man's mouth, how do you buy words you can't even prove they came outta any man's mouth?

Cc Nyani Ngabu
 
Haya bana...inawezekana wewe una asili ya kigoma.Ila ambavyo umenikot kuhusu Nyani Ngabu sijasema ni clip..nimesema cheki hiyo ya Nyani Ngabu(article),sijasema clip...
 
Haya bana...inawezekana wewe una asili ya kigoma.Ila ambavyo umenikot kuhusu Nyani Ngabu sijasema ni clip..nimesema cheki hiyo ya Nyani Ngabu(article),sijasema clip...

Oh boy!

Nimeweka video inayomuonyesha Snoop akielezea his first weed experience, ukapinga kwamba ni uongo. So nimeomba unionyeshe video inayothibitisha uongo wake, sio article. Coz you can hardly prove those words on the article are his anyway.

If they had you on camera stealing stuff, a million people verifying your alibi wouldn't count my G. Get it, Mtu makini??
 
Smh! First off, sijaona clip yoyote zaidi ya maandishi. Now, if you question the words that's coming outta the man's mouth, how do you buy words you can't even prove they came outta any man's mouth?

Cc Nyani Ngabu

But in all fairness, hiyo interview ina direct quotes. Na siyo lazima kila kitu kiwe kwenye video. La sivyo hakuna haja yoyote ile ya kuwa na publications.

Vilevile, jarida kama la Esquire lije na quotes zake lenyewe kuhusu mtu? Yaani limzushie mtu vitu ambavyo hakusema?

Au magazeti na majarida huwa haya conduct interviews?
 
Seeing is believing. Kwenye video tuna uhakika kuwa ni yeye, kwenye interviews za majarida hatuna uhakika moja kwa moja. Inawezekana walim-misquote, publishing errors and what not, kumzushia pia.

Inawezekana Snoop alidanganya kuhusu hii issue, sikatai. Lakini mpaka sasa hakuna ushahidi wenye nguvu kushinda ushahidi wa ku-support mada husika, so we have to go with the strongest evidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…