Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
You missed my point, Boss. Ukisema kitu ni uongo, that means una ushahidi usiopingika. It's one thing doubting, it's a whole 'nother thing calling it bluff.
You doubted, we debated. Huyu kapinga kabisa, so atupe ushahidi wake. Pengine Snoop kweli kadanganya.
No, actually nimekupata vyema kabisa na nilikuwa tu na buttress hoja/ swali lako kwamba jamaa katoa declarative statement ambayo naona hakuifikiria wakati anaitoa.
Ndo nikauliza hayo maswali rhetorically.
But I could have framed my questions a bit better than I did.