Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Clouds kwa kupenda maveteran, inamaana hadi sasa hawajawa na ubavu wa kuchukua wasanii walio kwenye peak?
Wanapenda mteremko, hapa ndo nahisi kwa jinsi gani wasanii wa ndani wanavyopunjwa kwenye hili tamasha, Rubby alisha alert, kisa eti platform ndo unipe ela mbuzi?? Kama wana ubavu wakamchukue Justin Biba!! Maana huyo mzee ni mara mia asimame Manfongo ataeleweka zaidi.
 
Mtu mzma Snoop Dogg mbona ashapotea kwenye game kitambo tu na saiv kabaki kama legend tu,, kama kwel wapo serious watulete mtu kama drake au Kendrick hapo ndo ntawaelewa
 
Justin bierber uwezo huo si watafilisi medie
 
Ngoja tujaribu show za hiphop ya snoop doggy kwenye fiesta tuone amsha amsha za hiphop sio kila siku ladha za pop na rnb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…