Snura aachana na muziki wa kidunia, aomba nyimbo zake zisipigwe tena, na picha zake zisipostiwe akifariki dunia

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798

Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena.

Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.

Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.

Pia soma
 
View attachment 3055981

Kwani alikuwa bado anafanya muziki? Nilijua alishaacha siku nyingi.

Ova
 
Kama ametubia toba ya kweli ni ni jambo zuri , tunamuombea kheri na Allaah aampe thabati maana wengi wanakufa bila kutubia na hiyo ndio mbaya .

Haya maisha ya Dunia ni starehe fupi sana , kila kitu linapotea ghafla kama upuuzi tu . Si vizuri watu kuanza kumuombea mabaya na kuweka dhana ovu kwa binadamu mwenzako hiyo ni roho mbaya na husuda hakuna mtu msafi mandari mtu kaamua kubadilika heshimu maamuzi yake.
 
Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena

Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.

Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.

Snura: Naomba nikifa msipost picha zangu za ‘uchi’ mtandaoni

Snura Mushi amewataka wasanii, Watanzania pamoja na wadau wasanaa akifa hata kesho anaomba picha zake zilizopo mitandaoni kwa kuwa kufanya hivyo kutaiumiza zaidi familia.

Amedai picha zake nyingi zilizo mtandaoni ni mbaya na haziendani na maisha yake.
 
View attachment 3055981

Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena.

Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.

Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.

Pia soma
Kachakazwaaaa. .....kachoka. Soko limeshuka.

Hongera kwake kwa kuamua maisha mapya. Tunamtakia kila la kheri.
 
Back
Top Bottom