To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣YalimshindaMzee Yusuph akiangalii hii atakuwa anacheka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣YalimshindaMzee Yusuph akiangalii hii atakuwa anacheka tu.
Atajisemea, "huyu anataka kufanya makosa niliyofanya mimi"🤣🤣🤣Yalimshinda
Kwahiyo na nyie mkiokoka huwa mmechuja? Masanja mkandamizaji alipojikita kwenye dini kumbe alikuwa kachuja? Irene Uwoya kajiita mtume na kufungua Kanisa kumbe kachuja? Yule Mc Pilipili aliyekimbilia kufungua na Kanisa alikua kachuja?Hivi yupogi bado huyu,basi nikajua alishakufa and by the way wengi waliochuja hujificha nyuma ya mgongo wa dini ila deep down wanatamani kuwa nafasi walizo nazo wenzao au walizokuwa kipindi wakiwa na soko.
Sikumbuki lini nilisema nimeokoka lakini zaidi hao uliowataja wote hao wamefanya waliyofanya ili kwenda kukusanya hela za wapumbavu baada ya kuona fani walizokuwa nazo mwanzo zimewatupa mkono.Kwahiyo na nyie mkiokoka hua mmechuja? Masanja mkandamizaji alipojikita kwenye dini kumbe alikua kachuja? Irene uwoya kajiita mtume na kufungua...