Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanakuwa wabishi tu ila hapo hakuna cha dini wala sijui Mungu wala nani!Nimemkuka Mzee Yusuph nae alipitia hatua hii lakini baadae akarudi alikotoka
Suma Lee nae aliachana na mziki na hakurudi,kuna yule Saigon kama unamjua lakini,nae aliachana na miziki.Nimemkuka Mzee Yusuph nae alipitia hatua hii lakini baadae akarudi alikotoka
KwelMi nilidhani yanatufikirisha site ambao bado hatujasanuka bado kuhusu wokovu
Mind you!!!Iwe fundisho kwa zuchu anyependa kukaa uchi uchi na madanga mengine yote yaliyojificha kwa kivuli cha mziki
Punguza chuki za kijinga,huyo Snura angekua ni mgalatia mwenzako na akatangaza kua ameokoka,sasa hivi ungekua unakata viuno hapa kwa furaha,Watu wanakuwa wabishi tu ila hapo hakuna cha dini wala sijui Mungu wala nani!
Siku akitokea wa kumrudisha sokoni utamkuta amerudi kwenye muziki kama kawaida akiulizwa atasema tu āmimi ni binadamu sijakamilikaā then maisha yataendelea
š¤£š¤£š¤£Ana mtakooo balaaPicha yake ya chura ananesa nesa lazima tuitumie kupush msiba.!!
Asitupangie wafiwa na waombolezaji em š¹š¹
Unapambana kutetea naona unajibu Kila posti hao uliowataja pia wanatamani kurudi lakini hawana nafasi tena katika muziki wa leo.Suma Lee nae aliachana na mziki na hakurudi,kuna yule Saigon kama unamjua lakini,nae aliachana na miziki.