julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
kwanin unasema too late?? mwanadam hakatiw tamaa mpaka siku ya mwisho.kama kaamua mola amfanyie wepes tuombe mwisho mwema yeye na sisi.Too late
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanin unasema too late?? mwanadam hakatiw tamaa mpaka siku ya mwisho.kama kaamua mola amfanyie wepes tuombe mwisho mwema yeye na sisi.Too late
Hapana...ni mkewe na mzee magomaNdo yule anepika pika chakula?
Kwa hio ndio kusema Muziki haulipi?kwanin unasema too late?? mwanadam hakatiw tamaa mpaka siku ya mwisho.kama kaamua mola amfanyie wepes tuombe mwisho mwema yeye na sisi.
Au kapata muisiharamu wanataka kutapeliana nyuma ya kivuli cha dini.Kama ametubia toba ya kweli ni ni jambo zuri , tunamuombea kheri na Allaah aampe thabati maana wengi wanakufa bila kutubia na hiyo ndio mbaya .
Haya maisha ya Dunia ni starehe fupi sana , kila kitu linapotea ghafla kama upuuzi tu . Si vizuri watu kuanza kumuombea mabaya na kuweka dhana ovu kwa binadamu mwenzako hiyo ni roho mbaya na husuda hakuna mtu msafi mandari mtu kaamua kubadilika heshimu maamuzi yake.
Basi ndo maana humjui snuraMimi mambo ya mpila sifatilii
Namaanisha hapo kwenye picha za uchi kutosambazwa. Maana internet huwa haimsahau mtu na vitu vyake vilivyopostiwa. Kuna siku tu vita resurface.kwanin unasema too late?? mwanadam hakatiw tamaa mpaka siku ya mwisho.kama kaamua mola amfanyie wepes tuombe mwisho mwema yeye na sisi.
Kwani wakati akiziachia hadharani hakujua huko kuna ndugu jamaa na watu wa karibu naye?Snura Mushi amewataka wasanii, Watanzania pamoja na wadau wasanaa akifa hata kesho anaomba picha zake zilizopo mitandaoni kwa kuwa kufanya hivyo kutaiumiza zaidi familia.
Amedai picha zake nyingi zilizo mtandaoni ni mbaya na haziendani na maisha yake.
Ni vizuri itakuwa vizuri na mali alizochuma kupitia muziki azigawe jamaniSnura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena
Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.
Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.
Snura: Naomba nikifa msipost picha zangu za ‘uchi’ mtandaoni
Snura Mushi amewataka wasanii, Watanzania pamoja na wadau wasanaa akifa hata kesho anaomba picha zake zilizopo mitandaoni kwa kuwa kufanya hivyo kutaiumiza zaidi familia.
Amedai picha zake nyingi zilizo mtandaoni ni mbaya na haziendani na maisha yake.
Mcheza chura!Snula ni nani huko dar🤣
Huyu atakuwa kapata bwana kama wa sanchokaSnura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena