mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Kwani alikuwa bado anafanya muziki? Nilijua alishaacha siku nyingi.View attachment 3055981
Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena.
Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.
Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.
Pia soma
Baada ya hapo wana wakaenda Kisarika(nyuma ya uwanja wa A.Mwinyi)kujipongeza kwa ulabu.Wengine wakatokomea Chemchem na Makokola kula kansolele.Chura anarukaruka churaaa.....chura ananesanesa churaaaa.......
Ilikuwa uwanja wa Alli Hassan Mwinyi Tabora pale
Kachakazwaaaa. .....kachoka. Soko limeshuka.View attachment 3055981
Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena.
Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.
Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.
Pia soma
Alishapotea ameona asikose vyote.Kwani alikuwa bado anafanya muziki? Nilijua alishaacha siku nyingi.
Ova
Chura anaruka rukaSnula ni nani huko dar🤣