Hivi mrembo sanchoka amerudi tena mjini ?Kila la kheri lakini isije ikawa kama SANCHIWODI au MZEE YUSUFU.
Yeah amerudi mjini ,mwendo wa kujiachia ,ni nikab wala hijab.Hivi mrembo sanchoka amerudi tena mjini ?
Ila yule sanchi ni mashallah kwa kweli.
Nikishakuwa tajiri lhysically natafuta mrembo aliyekubuhu ameshachoka ndio namuweka ndani.
Maana fantasy zote atakuwa ameshazipitia na atakuwa ametulia sasa kusubiri kufa tu.
ππ
Nasikia alipataga tajiri, akamuweka ndani ndo akawa vile.....penzi litakua limekufa kama ilikua kweliSanchi amerudi kwa kishindo ,havai tena hijabu na baibui ni mwendo wa mipaja nje.
Jina analotumiaYeah amerudi mjini ,mwendo wa kujiachia ,ni nikab wala hijab.
Nasikia alipataga tajiri, akamuweka ndani ndo akawa vile.....penzi litakua limekufa kama ilikua kweli
SanchiworldJina analotumia
Kabisa lavu asitupangie ni kama anatukumbusha kuwa alikuwepo maana mi nilishamsahau kiukweliPicha yake ya chura ananesa nesa lazima tuitumie kupush msiba.!!
Asitupangie wafiwa na waombolezaji em πΉπΉ
Snura majanga kitambo sana akae kwa kutulia atavuna alichokipanda.!!Kabisa lavu asitupangie ni kama anatukumbusha kuwa alikuwepo maana mi nilishamsahau kiukweli
Huyo bila shaka ana mume anayempatia mahitaji yake tofauti na mzee YusufMzee Yusuph akiangalia hii atakuwa anacheka tu.
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.Kama ametubia toba ya kweli ni ni jambo zuri , tunamuombea kheri na Allaah aampe thabati maana wengi wanakufa bila kutubia na hiyo ndio mbaya .
Haya maisha ya Dunia ni starehe fupi sana , kila kitu linapotea ghafla kama upuuzi tu . Si vizuri watu kuanza kumuombea mabaya na kuweka dhana ovu kwa binadamu mwenzako hiyo ni roho mbaya na husuda hakuna mtu msafi mandari mtu kaamua kubadilika heshimu maamuzi yake.
Umejuaje, nami nimehisi kama wewe.Huyu atakuwa kapata bwana kama wa sanchoka
Saigon bado anaimba Hiphop, juzi tu kashirikishwa nyimbo na dogo mmoja. Ni vile akianza rap anashusha lugha ya kwa Mtume ila ana rap badoWasanii walioukataa muziki na kugeuikia upande wa dini tu.
Snura
Mzee Yusuph
Suma Lee
Picco Kikongwe
Saigon