Snura aachana na muziki wa kidunia, aomba nyimbo zake zisipigwe tena, na picha zake zisipostiwe akifariki dunia

Snura aachana na muziki wa kidunia, aomba nyimbo zake zisipigwe tena, na picha zake zisipostiwe akifariki dunia

Kila la kheri lakini isije ikawa kama SANCHIWODI au MZEE YUSUFU.
Hivi mrembo sanchoka amerudi tena mjini ?

Ila yule sanchi ni mashallah kwa kweli.
Nikishakuwa tajiri lhysically natafuta mrembo aliyekubuhu ameshachoka ndio namuweka ndani.

Maana fantasy zote atakuwa ameshazipitia na atakuwa ametulia sasa kusubiri kufa tu.

😁😁
 
Hivi mrembo sanchoka amerudi tena mjini ?

Ila yule sanchi ni mashallah kwa kweli.
Nikishakuwa tajiri lhysically natafuta mrembo aliyekubuhu ameshachoka ndio namuweka ndani.

Maana fantasy zote atakuwa ameshazipitia na atakuwa ametulia sasa kusubiri kufa tu.

😁😁
Yeah amerudi mjini ,mwendo wa kujiachia ,ni nikab wala hijab.
 
Picha yake ya chura ananesa nesa lazima tuitumie kupush msiba.!!
Asitupangie wafiwa na waombolezaji em 😹😹
Kabisa lavu asitupangie ni kama anatukumbusha kuwa alikuwepo maana mi nilishamsahau kiukweli
 
128648695_392093045447360_6388116032703678706_n-810x1011.jpg
"Ogopa technolojia na mungu"
 
Hiyo miziki anayosema isipigwe tena unaweza kukuta yeye siyo mmiliki wake.
 
Wanajuwa washaimba sana ujinga,washahamasisha sana watu walane jicho
Miziki yao ishawaaribu sana vijana
Hii miziki ina ushnz mwingi sana

Ova
 
Kama ametubia toba ya kweli ni ni jambo zuri , tunamuombea kheri na Allaah aampe thabati maana wengi wanakufa bila kutubia na hiyo ndio mbaya .

Haya maisha ya Dunia ni starehe fupi sana , kila kitu linapotea ghafla kama upuuzi tu . Si vizuri watu kuanza kumuombea mabaya na kuweka dhana ovu kwa binadamu mwenzako hiyo ni roho mbaya na husuda hakuna mtu msafi mandari mtu kaamua kubadilika heshimu maamuzi yake.
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Wasanii walioukataa muziki wa kidunia na kugeuikia upande wa dini tu.

Snura
Mzee Yusuph
Suma Lee
Picco Kikongwe
Saigon
 
Wasanii walioukataa muziki na kugeuikia upande wa dini tu.

Snura
Mzee Yusuph
Suma Lee
Picco Kikongwe
Saigon
Saigon bado anaimba Hiphop, juzi tu kashirikishwa nyimbo na dogo mmoja. Ni vile akianza rap anashusha lugha ya kwa Mtume ila ana rap bado
 
Back
Top Bottom