Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hapana Yuko vzr na kapendeza mkuu,amezingatia familia ,malezi ya watt piaMwee kwani kuolewa hakuchakazwi?
Kubwa angekubali ile haikuwa sawa ni vile tu ugali SI unajuaš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Yuko vzr na kapendeza mkuu,amezingatia familia ,malezi ya watt piaMwee kwani kuolewa hakuchakazwi?
Najua mkuu ugali ni kitu kibaya sanaHapana Yuko vzr na kapendeza mkuu,amezingatia familia ,malezi ya watt pia
Kubwa angekubali ile haikuwa sawa ni vile tu ugali SI unajuaš¤£
Imam Hussein ndio aliuwawa kikatili Karbala katika kulinda na kutetea uislamu , na hakuna Muislamu mwenye akili timamu ambaye atathubutu kumtukana na kumdhihaki , na sisis tunamuombea kila la kheri kwa Allaah tunampenda na tuna dhana nzuri juu yake.Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
Hapana yule mwenye migahawa ni Shilole ila walikuwa wanaimba nyimbo za kufanana na walikuwa ni wapinzaniNdo yule anepika pika chakula?
Tatizo la kubadilisha sababu umepata mpenzi na sio kwa nia ya dhati. Mapenzi yakiisha unarudi kule kule.Nasikia alipataga tajiri, akamuweka ndani ndo akawa vile.....penzi litakua limekufa kama ilikua kweli
Mwenzake mzee yusuph alisemaga ivoivo ghafla baada ya maokoto kuisha akaamua kurudi tena
Hao mashia ndio walimuua, wahuni tu katika dini na si waislamuImam Hussein ndio aliuwawa kikatili Karbala katika kulinda na kutetea uislamu , na hakuna Muislamu mwenye akili timamu ambaye atathubutu kumtukana na kumdhihaki , na sisis tunamuombea kila la kheri kwa Allaah tunampenda na tuna dhana nzuri juu yake.
Mashia wapotofu na wajinga katika dini , wanafuta batili na kuzungumza uongozo sisi hatuko pamoja nao.
Kaolewa na jamaa mmoja muarabuHuyu atakuwa kapata bwana kama wa sanchoka
Ndoo maana ila akiachika unakuta anarudi kwenye mziki sema waarabu wanapenda sana maviKaolewa na jamaa mmoja muarabu
Masha Allah katulia
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamani ila watu eti wanapenda mavi kaah[emoji1][emoji1]Ndoo maana ila akiachika unakuta anarudi kwenye mziki sema waarabu wanapenda sana mavi