SNURA: Chochote ukiamua utaweza hata mm nikiamua naweza tena sana bado tu sijaamua.....
Kwanza haya yalikua ni mazoezi tu,,,,,,unajua uswahilini kwetu siku hizi shughuli bila kibao kata hainogi tunakipenda mno na ili shughuli ikamilike lazima kiwepo......kwakua mimi ni msanii ninae fanya mziki wa uswahili nakuwakilisha vitaa vyote vya kiswazi nikaona show yangu niichanganye kidogo na kibaokata ili tuenjoy zaidi imeranduka........USWAZ RAHA
MhKunukisha papa tu
Aje na dansi nyingine ya ubunifu, kila dansi yake ni hiyo tu! Alafu kalio na sura hajabarikiwa, amshukuru mchina kwa vichubulio maana labda rangi inambeba.SNURA: Chochote ukiamua utaweza hata mm nikiamua naweza tena sana bado tu sijaamua.....
Kwanza haya yalikua ni mazoezi tu,,,,,,unajua uswahilini kwetu siku hizi shughuli bila kibao kata hainogi tunakipenda mno na ili shughuli ikamilike lazima kiwepo......kwakua mimi ni msanii ninae fanya mziki wa uswahili nakuwakilisha vitaa vyote vya kiswazi nikaona show yangu niichanganye kidogo na kibaokata ili tuenjoy zaidi imeranduka........USWAZ RAHA
Wanafungia za Roma tubasata wanajisahau sana
Dunia inaenda kasi sana......hivi vitu vilikua havifanywi hadharani ila siku hizi ndo fashen duh