Snura afanya balaa akifanya mazoezi on stage, nakupost hivi kuhusu kibao kata

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
SNURA: Chochote ukiamua utaweza hata mm nikiamua naweza tena sana bado tu sijaamua.....
Kwanza haya yalikua ni mazoezi tu,,,,,,unajua uswahilini kwetu siku hizi shughuli bila kibao kata hainogi tunakipenda mno na ili shughuli ikamilike lazima kiwepo......kwakua mimi ni msanii ninae fanya mziki wa uswahili nakuwakilisha vitaa vyote vya kiswazi nikaona show yangu niichanganye kidogo na kibaokata ili tuenjoy zaidi imeranduka........USWAZ RAHA

Dunia inaenda kasi sana......hivi vitu vilikua havifanywi hadharani ila siku hizi ndo fashen duh
 
Mbunye zimekosa thamani kiasu hiki?!

Aje na dansi nyingine ya ubunifu, kila dansi yake ni hiyo tu! Alafu kalio na sura hajabarikiwa, amshukuru mchina kwa vichubulio maana labda rangi inambeba.
 
Huo uozo wote unasababishwa na udhaifu wa Taasisi zinazosimamia hawa Wasanii Pamoja na maudhui yao., zingetimiza wajibu wao wengi wasingeitwa Wasanii..,
 
Mafundisho gani haya kwa watoto wadogo! Uchafu huu hata kama anasaka tonge
 
Dunia inaenda kasi sana......hivi vitu vilikua havifanywi hadharani ila siku hizi ndo fashen duh

Ishakuwa fasheni, mpaka kwenye vituo vya daladala kina dada wanajiachia tu siku hizi tena na wengine wanajipiga vidole hisia zikiwazidi.
 
Back
Top Bottom