so lonely 2day

so lonely 2day

mie sitasahau malezi mazuri ya wazazi wangu na wanangu lazma warithi! kuna kitoto cha mtu kikikutembelea unatamani wknd iishe kirudi kwao manake hakijui hata kutandika kitanda. nimefundishwa 'u cant enjoy what u cant afford'. sasa huyu 21 hata kama shule kamaliza anahitaji kununua makalio/makochi! i doubt kama ana-afford kujirusha,lol!
Dear he is 21.. thus ana qualify kupumzika on this Saturday jamani...King'asti uko strict kwa vijana eeeh?? safi saana..
 
mie sitasahau malezi mazuri ya wazazi wangu na wanangu lazma warithi! kuna kitoto cha mtu kikikutembelea unatamani wknd iishe kirudi kwao manake hakijui hata kutandika kitanda. nimefundishwa 'u cant enjoy what u cant afford'. sasa huyu 21 hata kama shule kamaliza anahitaji kununua makalio/makochi! i doubt kama ana-afford kujirusha,lol!

ha ha ha ... Nimekupata... Vipi dear umeolewa... kaka yangu mmoja anahangaika kweli...
 
hehehe, sasa best yaani umenichunuku hadi wataka tufanye undugu kabisaa! huyo kakako nae is 21 and lonely?
ha ha ha ... Nimekupata... Vipi dear umeolewa... kaka yangu mmoja anahangaika kweli...
 
mpaka afike 30 keshakuwa kibabu! sijui wanakimbilia nn! cartoons zoote kwenye tv afu anakuwa lonely,lol!
watoto wa siku hizi wanaanza mambo ya stressa at the age of 16huyo mbona mtu mzima...lol
 
hapo inabidi sheria ya public procument itumike kuhakikisha fair competition! hebu muanzishie uzi tumgombee,mi sipendi ushindi wa mezani banaa.cartoons ar entertaining. ila huyu ambaye yumo jf and still lonely yy mwenyewe mind yake iko isolated. hw can u fail to keep urself entertained? lol
Ni 26 and lonely... (mdogo wangu...)
 
hapo inabidi sheria ya public procument itumike kuhakikisha fair competition! hebu muanzishie uzi tumgombee,mi sipendi ushindi wa mezani banaa.cartoons ar entertaining. ila huyu ambaye yumo jf and still lonely yy mwenyewe mind yake iko isolated. hw can u fail to keep urself entertained? lol

Dah.. tena kweli unakuaje lonely at JF... Hakuna haja...
wewe unafikiri hizo lips ataresist?? Labda tu aone za BJ
 
Ashadii na king'asti nendeni kule kweny sms anawasubiri nyie huku mnaendeleza topic...............
 
Huyo kijana nafikiri maelezo yake amejichanganya...... to be lonely pengine kwake it has more meaning than what we know ! sasa si muwazi
 
Chukua daftar usome dogo. Kusoma ndio deal kesho inatengenezwa na leo.
 
kweli hii dunia ina watu sio mchezo...hivi hivi unatoa namba ya simu kama njugu????
 
Back
Top Bottom