So sad, kuwa kesho Jaji Ntemi Kilekamajenga utamkuta Mahakama ya Rufaa

So called Judge Ntemi Kilekamajenga hafai. He is a disgrace to the "family". Ni hawa hawa utawakuta wako Mahakama ya Rufaa! By what qualification? Kwa vile wanaweza kutoa maamuzi ya "kishenzi" kwa kutumwa na executive!

Judge anakataa kujitoa kwenye kesi contrary to law! ana malengo gani?

ZABRON PANGAMALEZA v JOACHIM KIWARAKA & ANOTHER ( ) [1987] TZCA 14; (01 October 1987); 1987 TLR 140 (TZCA)

For all these reasons I am satisfied that the Resident Magistrate was wrong in dismissing the appellant's suit. He should have stepped down from hearing the case after one of the parties has recused him.

(Najua Mods mtafuta) watakaowahi kusoma wanatosha!
ulitaka atoe uamuzi kwa maslahi yako?
 
So called Judge Ntemi Kilekamajenga hafai. He is a disgrace to the "family". Ni hawa hawa utawakuta wako Mahakama ya Rufaa! By what qualification? Kwa vile wanaweza kutoa maamuzi ya "kishenzi" kwa kutumwa na executive!

Judge anakataa kujitoa kwenye kesi contrary to law! ana malengo gani?

ZABRON PANGAMALEZA v JOACHIM KIWARAKA & ANOTHER ( ) [1987] TZCA 14; (01 October 1987); 1987 TLR 140 (TZCA)

For all these reasons I am satisfied that the Resident Magistrate was wrong in dismissing the appellant's suit. He should have stepped down from hearing the case after one of the parties has recused him.

Pia soma

Huyu tutahakikisha anadhalilika kwa kiwango cha kutisha
 
Yeye anafuata sheria ,Laumu wabunge wako maana ndo wanaotunga sharia.Usimlalamikie jaji.Yeye anaaply tu sheria zilizopitishwa na wabunge wenu.

Mbona ndio hafuati hizo sheria. Maana mahakama za Tanzania ni adversarial. Hazitafuti kesi ila zinapelekewa kesi. Sasa Jaji Ntemi kawaomba CCM wampelekee majina ya mawakili wanaosumbua. Huoni hapo anapingana na sheria.
 
ungetulia walau ungeanza kunyosha kidole TLS,

Mtu moja apo kapose very important questions hapo, kwamba huyo judge anapaswa kuwajibika au kuwajibishwa?
this is very bigining questions ulifaa ujiulize ccm na majaji wapi na wap sasa

Hamueleweki, Makonda akiwapa mawaziri maelekezo mnadai chama ndio Kiko juu ya mawaziri. Sasa na majaji wapo Chini ya CCM. Ndio maana Jaji kaiomba CCM impelekee majina ya mawakili wasumbufu. Hilo ni kosa, unaombaje watuhumiwa wewe Jaji?
 
Lini na kinachojadiliwa hapa ni cha lini

Kinachojadiliwa ni corraborative evidence. Mwabukusi Hana imani naye ila yeye kalazimisha kusimamia kesi, Sasa Leo umetoka ushahidi wa Polepole kuwa huyo Jaji huwa anaomba majina ya mawakili. Hilo tu ni kosa la kinidhamu na linaonesha Jaji yupo upande wa CCM.
 
Hamueleweki, Makonda akiwapa mawaziri maelekezo mnadai chama ndio Kiko juu ya mawaziri. Sasa na majaji wapo Chini ya CCM. Ndio maana Jaji kaiomba CCM impelekee majina ya mawakili wasumbufu. Hilo ni kosa, unaombaje watuhumiwa wewe Jaji?
nadhani wew ndie umeghafilika kutokana na athari za kisiasa zilizokujaa sana akilini na nafsini mwako...

as times goes hata ukijikwaa kwenye jiwe kwenye matembezi yako na uko pekeyako utasema hawa ni CCM tu 🤣
kwasabb you are done saikolojikali, you can't think beyond CCM 🤣
 
nadhani wew ndie umeghafilika kutokana na athari za kisiasa zilizokujaa sana akilini na nafsini mwako...

as times goes hata ukijikwaa kwenye jiwe kwenye matembezi yako na uko pekeyako utasema hawa ni CCM tu [emoji1787]
kwasabb you are done saikolojikali, you can't think beyond CCM [emoji1787]
As times goes ndio mdudu gani?
 
Kinachojadiliwa ni corraborative evidence. Mwabukusi Hana imani naye ila yeye kalazimisha kusimamia kesi, Sasa Leo umetoka ushahidi wa Polepole kuwa huyo Jaji huwa anaomba majina ya mawakili. Hilo tu ni kosa la kinidhamu na linaonesha Jaji yupo upande wa CCM.
As times goes ndio mdudu gani?
nsamehe bure mku ni makosa ya kifasihi na uandishi.
Nimefuta hiyo sentence. Naomba ifutwe mpaka kwenye hansadi
 
Back
Top Bottom