Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini nilimsikia Mwabukusi akisema hata wakimfuta uwakili yeye hana habari na wala hatishiki, sasa imekuwaje tena anaanza kuogopa matamshi yake mwenyewe!!?Kinachojadiliwa ni corraborative evidence. Mwabukusi Hana imani naye ila yeye kalazimisha kusimamia kesi, Sasa Leo umetoka ushahidi wa Polepole kuwa huyo Jaji huwa anaomba majina ya mawakili. Hilo tu ni kosa la kinidhamu na linaonesha Jaji yupo upande wa CCM.
Hivi Jaji anaupataje Ujaji bila mwenyekiti wa ccm kumteaua?ungetulia walau ungeanza kunyosha kidole TLS,
Mtu moja apo kapose very important questions hapo, kwamba huyo judge anapaswa kuwajibika au kuwajibishwa?
this is very bigining questions ulifaa ujiulize ccm na majaji wapi na wap sasa
Ukweli ni mchungu sana sanamoyo na akili kuathiriwa na kuchakazwa na siasa ni kitu mbaya sana
that is it na tabia yake ni kukera na kuamsha mihemkoUkweli ni mchungu sana sana