Kinachojadiliwa ni corraborative evidence. Mwabukusi Hana imani naye ila yeye kalazimisha kusimamia kesi, Sasa Leo umetoka ushahidi wa Polepole kuwa huyo Jaji huwa anaomba majina ya mawakili. Hilo tu ni kosa la kinidhamu na linaonesha Jaji yupo upande wa CCM.
Lakini nilimsikia Mwabukusi akisema hata wakimfuta uwakili yeye hana habari na wala hatishiki, sasa imekuwaje tena anaanza kuogopa matamshi yake mwenyewe!!?
Mtu moja apo kapose very important questions hapo, kwamba huyo judge anapaswa kuwajibika au kuwajibishwa?
this is very bigining questions ulifaa ujiulize ccm na majaji wapi na wap sasa