So Sexy....

Wewe ni bonge la mwanaume yaani kila mwanamke unaemuambia upo single anatamani uwe baba watoto wake.kwa muonekano tu
Kila kitu upo fresh akili,huna roho mbaya mpambanaji.sio mpinga serikali etc Ila sasa uzinduzi uzinduzi
Haaaahaaaaa...mtu atajimurder hapa[emoji23] [emoji23]
 
Wewe ukimpa mtu zawadi wewe naandamana uchi humu jf.ataishia kupigwa misosi KFC tu

1. Sitoagi zawadi hovyo hivyo na ndo maana unanifikiria hivyo unavyonifikiria.

2. Kwa sababu hiyo hapo juu, nikimpa mwanamke zawadi basi jua kuwa kuna ‘quality’ flani nzuri aliyonayo ambayo nimeipenda.

3. Niko tofauti sana na unavyonifikiria. Mimi ni mtoaji mzuri kabisa ila si mtoaji kiholela.

4. Be careful what you wish for.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…