Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaaa..nakaziaNaongezea.....na madaraka juu!
Ndo hivo mwaambie aache kuzindua miradi mipya kila sikuInaonekana anakujua vyema, she might have a point!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani😱
🙂😉
Wewe ni bonge la mwanaume yaani kila mwanamke unaemuambia upo single anatamani uwe baba watoto wake.kwa muonekano tuNo way...anapenda kunizingua tu.
Leo li dreamliner sijui bombardier unazindulia wapi?Miss please....nitakuripoti unanichafua.
Haya sasa!Wewe ni bonge la mwanaume yaani kila mwanamke unaemuambia upo single anatamani uwe baba watoto wake.kwa muonekano tu
Kila kitu upo fresh akili,huna roho mbaya mpambanaji.sio mpinga serikali etc Ila sasa uzinduzi uzinduzi
😳😳 wote wangenichukulia hivyo ningenenepa. Yule niliekwambia nimefika anaolewa na jamaa kutoka Ghana mwezi ujao! Poor me!Wewe ni bonge la mwanaume yaani kila mwanamke unaemuambia upo single anatamani uwe baba watoto wake.kwa muonekano tu
Kila kitu upo fresh akili,huna roho mbaya mpambanaji.sio mpinga serikali etc Ila sasa uzinduzi uzinduzi
Ndo role model wako eeh ,safi sana.hata Mimi ameniinspire sanaHaya sasa!
Siku nikiwa mkubwa nataka niwe kama brother Prondo!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ahahaa pole sana.tatizo hukumpa assurance,mwanamke ukimpa maquestion mark lazima asepe hata kama anakupenda vipi😳😳 wote wangenichukulia hivyo ningenenepa. Yule niliekwambia nimefika anaolewa na jamaa kutoka Ghana mwezi ujao! Poor me!
Nichukue Mimi nitaenda kukata utumbo nikondeIts easy Sunday...chilling at home watching Formula One.
Huenda na mimi nikafaidi mema ya nchi, you never know hahaa!U dont know what u wish for.