Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Ha ha ha inabidi awe vizuri just in case ukiamua kuendelea na hio line of conversation.
True! 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha inabidi awe vizuri just in case ukiamua kuendelea na hio line of conversation.
Asante mdogo wanguKutokuona haina maana kitu HAKIPO.
Perfect Approach! [emoji106]Some say more money more problem....I say gimme that more money im gonna deal with the problems.
Wapo mbona....Kwahio unasema hamna? Someone can not be beautiful,smart and independent?!
Jokate je na yeye ni bumbuwaziWanawake wenye hizi sifa bado Mungu hajaanza kutengeneza version zake..labda kama ukamchonge wa kwako Sido mkuu. [emoji23]
Wako wachache sana Duniani kama trial version tu hawa ni baadhi yao wa JF.. Nalendwa Zahra White snowhite
Punyeto hizo ni dalili za uchoyoAsante sana kwa kututambua.kuna saa huwa nacheki maisha.najikubali mpaka naamua kujipongeza kwa kujipiga punyeto
wabadili viwanja na ligi wanazocheza.Kuna wenzetu hawajawahi kuwaona.
Kivipi?Duh...huo sasa ubinafsi....
Kwani naishi kwa hela zenu? Uchoyo mmeuanza nyiePunyeto hizo ni dalili za uchoyo
Tumeanzaje toka kitu na mimi nikupe kitu kutoa ni moyo sio utajiriKwani naishi kwa hela zenu? Uchoyo mmeuanza nyie
Sina cha kuongeza.Niseme mawili matatu kuhusu wadada wanaojitegemea.
Mimi nawakubali sana. Mdada kaenda shule, ni mchapakazi, au hata kama hajaenda sana shule basi ni mpambanaji.
Huwa najikuta navutiwa tu na wadada wa hivyo na kwa sababu hiyo ninaweza hata kumzawadia kitu na moyo wangu ukaridhika kuwa nimemzawadia mtu ambaye anajiweza.
Yaani hata yeye mwenyewe kutokana na jasho lake anaweza kukipata hicho nilichomzawadia.
Vile tu alivyompambanaji kunanifanya nimheshimu sana na kumpenda pia [iwe kimapenzi au kikawaida.]
Mwanamke ambaye anasubiri kufanyiwa mambo na mwanaume kwangu hana mvuto kabisa. Ni mzigo.