So Sexy....

Asante sana kwa kututambua.kuna saa huwa nacheki maisha.najikubali mpaka naamua kujipongeza kwa kujipiga punyeto
 
Niseme mawili matatu kuhusu wadada wanaojitegemea.

Mimi nawakubali sana. Mdada kaenda shule, ni mchapakazi, au hata kama hajaenda sana shule basi ni mpambanaji.

Huwa najikuta navutiwa tu na wadada wa hivyo na kwa sababu hiyo ninaweza hata kumzawadia kitu na moyo wangu ukaridhika kuwa nimemzawadia mtu ambaye anajiweza.

Yaani hata yeye mwenyewe kutokana na jasho lake anaweza kukipata hicho nilichomzawadia.

Vile tu alivyompambanaji kunanifanya nimheshimu sana na kumpenda pia [iwe kimapenzi au kikawaida.]

Mwanamke ambaye anasubiri kufanyiwa mambo na mwanaume kwangu hana mvuto kabisa. Ni mzigo.
 
Last edited:
Mwanamme ukipenda wanawake wapambanaji unaonekana ganda la ndizi.

Ila wasio wapambanaji wengi wanaadaliwa na mifumo ya maisha yetu.

ndiyo maana anza kuwahesabu wanawake wazuri, wapambanaji na wenye akili. wengi ni wale waliowekewa misingi na wazazi.

nadra saana kumkuta mwajuma ndala ndefu anaakili , mpambanaji na mzuri.
 
Sina cha kuongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…