So Sexy....

No way...anapenda kunizingua tu.
Wewe ni bonge la mwanaume yaani kila mwanamke unaemuambia upo single anatamani uwe baba watoto wake.kwa muonekano tu
Kila kitu upo fresh akili,huna roho mbaya mpambanaji.sio mpinga serikali etc Ila sasa uzinduzi uzinduzi
 
Haya sasa!

Siku nikiwa mkubwa nataka niwe kama brother RRONDO!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Wewe ni bonge la mwanaume yaani kila mwanamke unaemuambia upo single anatamani uwe baba watoto wake.kwa muonekano tu
Kila kitu upo fresh akili,huna roho mbaya mpambanaji.sio mpinga serikali etc Ila sasa uzinduzi uzinduzi
😳😳 wote wangenichukulia hivyo ningenenepa. Yule niliekwambia nimefika anaolewa na jamaa kutoka Ghana mwezi ujao! Poor me!
 
Ahahaa pole sana.tatizo hukumpa assurance,mwanamke ukimpa maquestion mark lazima asepe hata kama anakupenda vipi
 
It has been a long time since I last passed through the entire thread ! Ooh God ! It reminds me of something !
U remind me of something, I just dont know what it is.
U remind me of my Jeep....I wanna ride.....

R. Kelly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…