Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

Kus Kas Pole

Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
35
Reaction score
47
Habari wana Jamii Forums.

Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy.
Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka.

Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki.

Tunafanya session za watoto kwa ratiba ifuatayo;

Under 9
Tuesdays &Thursdays
4:30pm - 6:00pm
Saturday 9:30am - 11:00am

Under 7
Wednesdays & Fridays
5:00pm - 6:30pm
Saturdays 8:30am - 9:30am

Under 6
Wed & Fridays
4:00pm-5:00pm

Baby class
Mondays & Saturdays 4:00pm-5:00pm

Under 11
Fridays 6:00pm - 700pm
Saturdays - 05:00pm - 06:30pm
Mondays 5:30pm - 6:30pm

GHARAMA
Kwa Siku ni 20,000

Kwa mawasiliano zaidi
Piga/whatsapp
0655220039/0717508128

Karibu sana
 
Attachments

  • Blue Office Safety Work from Home Guidelines  - Made with PosterMyWall (3).jpg
    Blue Office Safety Work from Home Guidelines - Made with PosterMyWall (3).jpg
    123.9 KB · Views: 8
Pitch ni artificial kwa io gharama za kukodi uwanja zipo juu. Ila ni mazingira sahihi sana kumuandaa mtoto kisoka.
Unajidanganya...wamarekni walikuwa na kitu kinaitwa pay to play model. Ilifeli vibaya mnooo. Actually katika analysis yao waliilaumu hii model kwa wao kutokwenda the previous worldcup.
 
Mzee mwenzangu wa kupenda mizigo, lakini hiyo pay to play model ni maarufu na inatumika nchi nyingi duniani bado hata zilizoendelea kisoka. Nina ndugu yangu UK anafanya hii na yuko vizuri sana. So, jamaa waache waendelee wanaweza kufika level za akina Magnet ya bwana Tuntufye.
 
Unachosema kipo sahihi mkuu, kwa US gharama ilikua inaenda mpaka USD 100k, ila kama una nafasi nakukaribisha Masaki Sports park, ukija utaweza kujiridhisha na kuelewa vizuri kuhusu hii project. Tukabadilishana na maono mbali mbali kuhusu soka.
 
Cha muhimu ni malengo tu, changamoto tu ni kwamba Tanzania miundombinu shida, viwanja vizur ni gharama sana.
 
Mkanganyiko kwenye gharama..umesema kwa siku wakati ratiba inaonyesha saa.
 
Unachosema kipo sahihi mkuu, kwa US gharama ilikua inaenda mpaka USD 100k, ila kama una nafasi nakukaribisha Masaki Sports park, ukija utaweza kujiridhisha na kuelewa vizuri kuhusu hii project. Tukabadilishana na maono mbali mbali kuhusu soka.
Sawa mkuu. Hakikisha tuu mna qualified coaches maana tatizo kubwa africa kwenye coaching ni kwamba hatufànyi age appropriate coaching. Tunafundisha mtoto wa miaka 9 kama vile tumafundisha teenager.
 
Mzee mwenzangu wa kupenda mizigo, lakini hiyo pay to play model ni maarufu na inatumika nchi nyingi duniani bado hata zilizoendelea kisoka. Nina ndugu yangu UK anafanya hii na yuko vizuri sana. So, jamaa waache waendelee wanaweza kufika level za akina Magnet ya bwana Tuntufye.
Hahaha kumbe unaoenda mizigo na fabo 🤣🤣🤣🤣
Tatizo ni kwamba je utapata the most talented players au ndio wale wa kucheza for fun but football is not their only way to earn a living?
 
Ah wapenda mizigo ni muda sasa tuanzishe umoja wetu. Kuna mtoto nilimuona Tegeta aisee ana mzigo very rare. Mpangilio huo wa mzigo niamini ni very rare. Nilikutana na aina hiyo ya mwanamke mara 1 tu katika maisha yangu. Shepu fulani namba 6. Kiuno kama kachongwa, hana manyama zembe..makalio hayajasambaa yamejaa kwa kuja nyuma aisee ni mchongo fulani adimu mno.
 
Unapata mkuu, unachofanya ni kumix talented who can pay and ambao hawez kulipa. Na sisi tuna project za mtaan ambazo tuna train watoto wa mtaan ambao hawez kuafford viwanja kama ivyo. Tunafanya nao session za after school na haijalishi awe anajua sana au kawaida lengo apate kwanza basics anavyoendelea kukua hata akiamua kuweka akili yake kuwa professional player basi zile basics za soccer anakua nazo tayari.
Hahaha kumbe unaoenda mizigo na fabo 🤣🤣🤣🤣
Tatizo ni kwamba je utapata the most talented players au ndio wale wa kucheza for fun but football is not their only way to earn a living?
 
Sawa mkuu. Hakikisha tuu mna qualified coaches maana tatizo kubwa africa kwenye coaching ni kwamba hatufànyi age appropriate coaching. Tunafundisha mtoto wa miaka 9 kama vile tumafundisha teenager.
Kwenye hilo shaka ondoa, kila mtoto ana ujazo wake kulika na umri wake.
Elimu ya coaching ni kweli changamoto kwa bongo na Afrika nzima.
Ila tutafika tu, saiv makocha vijana wameanza kuwa wengi.
 
Yale yale ya ufugaji wa kware
Hii ni project kwa wapenda soka, au kama na ww mdau upo vzur kuwekeza tafuta qualified coaches tukuze mpira wa bongo.
Mwanzo utatumia sana pesa yako ila baada ya muda utarudisha gharama zako na taifa litafaidika pia.
 
Kwenye hilo shaka ondoa, kila mtoto ana ujazo wake kulika na umri wake.
Elimu ya coaching ni kweli changamoto kwa bongo na Afrika nzima.
Ila tutafika tu, saiv makocha vijana wameanza kuwa wengi.
Kweli changamoto maana tunasikiaga kozi tuu zinaendeshwa hapo tff lakini makocha hatuwaoni kwenye ligi letu. Huyo mkufunzi wao nae akioewa timu ndio zinapigwa tuu sasa unajiuliza kama mkufunzi yupo hivyo hao makocha itakuwaje. Bado tuna safari ndefu sana.
 
Hata sisi walimu pia hatupendi kusoma, ukipiga kozi yako moja basi umemaliza, ualimu wa mpira ni kusoma kila uchwao maana mambo ya technology yamekuja badili vitu vingi.
Safari bado ndefu ila kila mmoja wetu afanye anachoweza kusaidia kusukuma hili swala tunaweza sogea kiasi.
 
Wee unadhani kusoma mchezo 🤣🤣🤣🤣 balaa tupu.
Mambo ya formation strategy tactics yakatulie kichwani kama bwana pep au gasperini sio mchezo joo. Na wabongo sie wavivu kusoma.
 
Back
Top Bottom