Soccer Aid

Soccer Aid

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Naangalia game right now btn ENGLAND STARS VS WORLD 11 hii mechi ni ya charity SOCCER AID kuchangia walioathirika na earth quake nchini HAITI na kuchangia kutokomeza malaria africa (tanzania one of the beneficiary).Pamoja na revenue za hii mechi pia watu watapiga simu namba maalum kuchangia chochote walichonacho.
On the other side of the world,TANZANIA wanatumia $2.5m kucheza na brazil!!!!!Jamani hii kweli inaingilika akilini???Unatumia $2.5m kulipia mpira halafu mwingine anacheza mpira free of charge akuchangie wewe kununua vyandarua vya watoto wako ili wasife na MALARIA!!!!!!
Hii imekaaje jamani,tutafika kweli??
 
tumemtaka raisi bitozi hayo ndio matokeo yake.si unajua mabitozi wanavyo penda ku-show off mkuu?
 
tumemtaka raisi bitozi hayo ndio matokeo yake.si unajua mabitozi wanavyo penda ku-show off mkuu?


inasikitisha sana ngoja mi niwaangalie akina zidane,figo na mzee COLINA kashika filimbi ndani ya old trafford,at least hawa wanatuburudisha kwa faida ya wengi wanaohitaji msaada
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo....nashindwa kuelewa kwa nini watu hawataki kushurutisha akili zao
 
Back
Top Bottom