RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Naangalia game right now btn ENGLAND STARS VS WORLD 11 hii mechi ni ya charity SOCCER AID kuchangia walioathirika na earth quake nchini HAITI na kuchangia kutokomeza malaria africa (tanzania one of the beneficiary).Pamoja na revenue za hii mechi pia watu watapiga simu namba maalum kuchangia chochote walichonacho.
On the other side of the world,TANZANIA wanatumia $2.5m kucheza na brazil!!!!!Jamani hii kweli inaingilika akilini???Unatumia $2.5m kulipia mpira halafu mwingine anacheza mpira free of charge akuchangie wewe kununua vyandarua vya watoto wako ili wasife na MALARIA!!!!!!
Hii imekaaje jamani,tutafika kweli??