Social distancing kwenye mabasi irudi, RC Makalla tusaidie

Social distancing kwenye mabasi irudi, RC Makalla tusaidie

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Kwakoo Mh. Amos, baba hali iliopo tumefurahi kuhimiza watu wavaee barakoa wanawe

Baada ya hapo naonba niweke wazi nilivhokiona jana basi za Tegeta - Kariakoo

Wapendwa kwa yanayoendelea kama basi zinaruhusiwa kujaza vile wataisha wataisha

Ukweli mabasi haya watu wanapumuliana live hakuna njia kama kuna mgonjwa humo ndani watu mkatoka salama ngumu sana

Tunaomba Mh Amos basi zote zisisi amishe watu. Mtu anapojaza siti anaondoka na wanapona amishe basi konda husika wekandani

Tusisubiri kusikia maiti zimejazana kama tunaweza kujilinda

Kila la kheri wote
 
Kama tukianza kuisha mabasi yenyewe hayatajaa yatakua levo siti, ngoja tuendelee hivi hivi tuone watabaki wagapi
 
Ila wew ni ndezi zwa zwa, unaweza kuzuia watu wasipande daladala Kwa mtindo uliopo ? Unajua population ya jiji Kwa SASA na idadi ya hayo mabasi ya huduma ?ukijua utoongea tena huu utumbo wako hapa, maana unang'ang'ania Corona Corona ukufa toka unazaliwa upo mpaka SASA na umepitia magonjwa mangapi mpaka ukafikia umri wako? Endelea kuomba na kushukuru mjusi wewe Kwa muumba wako.
 
Huyo konda ndie anakulazimisha kuingia kwenye gari lililojaa? Unampango kufanya usafiri uwe wa shida kwa faida ya nani? Tahadhari inaanza na wewe!
 
Pole sana mkuu. Social distancing ikikushinda vaa barakoa.

Ni heri upumue kwa shida kwa muda wa masaa kadhaa ukiwa salama. Usisahau kuwa maisha ni yako na kukataa kuwa sehemu ya ujinga ndiyo ubinadamu uliotukuka.
 
Pole mtoa mada, naona wengi wameishia kuku attack ,inaonekana propaganda za awam ile ziliwaingia sana watu, waliaminishwa hakuna Covid na wakaamin. Kwa mtu aliepoteza ndg/rafik au mtu wa karib kwa ugonjwa ule ataelewa point yako.
 
Pole sana mkuu. Social distancing ikikushinda vaa barakoa.

Ni heri upumue kwa shida kwa muda wa masaa kadhaa ukiwa salama. Usisahau kuwa maisha ni yako na kukataa kuwa sehemu ya ujinga ndiyo ubinadamu uliotukuka.
"Yuko sahihi mabasi social distancing, masoko yafungwe, michezo isimame, na ikipendeza mamlaka ka lokudown ka miezi mitatu na wiki 4 itafaa kudhibiti hili. Kama Rwanda, Uganda, Kenya na wengine wanafanya sisi ni nani tusifanye?" Alisikika brazaj akisema
 
Hapo ulitakiwa uandike alisikika mburura brazaj

Back
Top Bottom