Kazikeni majeneza hukoPole mtoa mada, naona wengi wameishia kuku attack ,inaonekana propaganda za awam ile ziliwaingia sana watu, waliaminishwa hakuna Covid na wakaamin. Kwa mtu aliepoteza ndg/rafik au mtu wa karib kwa ugonjwa ule ataelewa point yako.
Wawe kama uganda. Hela za mikopo shida sana, nasubiri siku wakiambiwa mkitaka mkopo muhalalishe wanaume kuingiliana kinyume na maumbile
"Yuko sahihi mabasi social distancing, masoko yafungwe, michezo isimame, na ikipendeza mamlaka ka lokudown ka miezi mitatu na wiki 4 itafaa kudhibiti hili. Kama Rwanda, Uganda, Kenya na wengine wanafanya sisi ni nani tusifanye?" Alisikika brazaj akisemaPole sana mkuu. Social distancing ikikushinda vaa barakoa.
Ni heri upumue kwa shida kwa muda wa masaa kadhaa ukiwa salama. Usisahau kuwa maisha ni yako na kukataa kuwa sehemu ya ujinga ndiyo ubinadamu uliotukuka.
"Yuko sahihi mabasi social distancing, masoko yafungwe, michezo isimame, na ikipendeza mamlaka ka lokudown ka miezi mitatu na wiki 4 itafaa kudhibiti hili. Kama Rwanda, Uganda, Kenya na wengine wanafanya sisi ni nani tusifanye?" Alisikika brazaj akisema