AFANDE POA POA
Senior Member
- Oct 12, 2015
- 101
- 111
mkuu mseza mkulu tunajifunzaje izi counscious and subcounscious zinavyofanya kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni mtego wa panya, kwa maana unanasa wote, tamaa za kipuuzi tu![]()
![]()
Unaweza ukapaniki nitakapokwambia mawazo mengi unavyodhani ni yako sio yako ni vitu ulivyopandikiziwa Bila kujua. Sisi tunaamini uwepo wa Mungu na uumbaji tunaamini pia Mwanadamu aliumbwa na Uwezo huru wa kufikiri na kuchagua.
Vita kubwa inayoendelea Sasa chini ya ardhi sio dhidi ya Magaidi, waasi au religious extremists Bali ni kumuondolea mwanadamu zawadi hii ya pekee aliyopewa na Mungu na vita hivi hadi sasa imefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 50 duniani kote. Waandisi jamii ndio Moyo na silaha ya maangamizi katika vita hivi.
![]()
Lengo la bandiko hili sio kutishana Bali ni kuongeza uelewe halisi wa mambo maana ushahidi usio na Shaka umeonyesha kujua michezo hii kutakupunguzia asilimia kubwa ya kuwa muhanga wa janga hili. Mambo haya yanafanyika kupitia Mind control techniques,Brain Washing techniques, subliminal sensations na vifaa vikubwa vinavyowezesha ni TV, Movies, Adverts, Social Media hivi ndio mama.
Zifuatazo ni jinsi 06 unavyoweza kunaswa katika mtego ya kutawaliwa bongo
1: Matangazo ya Biashara na Propaganda
![]()
Asilimia kubwa ya watu wanavyovaa, kula, kunywa, kunyoa style, aina ya vitu wanavyopenda sio matokeo ya uamuzi wao wa Hiyari Bali Matangazo na ushawishi wake. Leo duniani habari ikathibitika kama ni ya kweli, au kitu kitaonekana ni sahihi au kizuri au chafaa kutumika katika jamii kama kimeandikwa kwenye vyombo vya habari mbalimbali vya kimataifa visivyohusiana.
Lakin ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya habari zinazoenea duniani na asilimia kubwa ya vyombo vya habari vikubwa ulimwenguni vinamilikiwa na Makampuni sita tu tena yenye uhusiano wa karibu.
Kwa maana nyingine wanaweza kuamua kuja na habari yoyote kukuaminisha jambo lolote wakati wowote. Simaanishi tusiangalie habari Bali tujiongeze kwa akili zetu pia ktk kupambanua.
Kwa nini kuna uwezekano zikwepo jumbe (subliminal messages) ambazo zimechujwa na kurushwa kwenye media zote duniani Bila kujua asilimia kubwa zina uhusiano au Kuna mipango nyuma ya propaganda hizo.
Leo Kuna watu wanawachukia waarabu kwa sababu media zimesema, na Kuna watu wanawachukia wamarekani kwa sababu media zimesema wanawaonea waarabu.
Mfano kwenda kuangalia Movies ukiwa na Bisi na Soda au wanawake kuacha vifua nusu wazi au kutamani kuwa na vifua/boobs vikubwa wengi sio kwa hiyari zao bali ni matokea ya group thinking inayotokea kidogo kidogo ila kwa uhakika.
2: Watu kupangwa kukubali matukio kabla hayajatokea /Predictive programming
![]()
![]()
Dhana hii bado wengi haiwaingii akilini. Kubadilika muonekano hasa wa dada kwa wiki anaweza kutokea kwa mionekano kama saba tofauti hii ni product ya hollywood and media programming, Leo tunaweza kumkadiria nani gaidi, nani mwema, Nani wa kumuogopa, nani anaongea ukweli sio kwa akili zetu bali kwa mawazo tuliyaamini kupitia pre-programmed agendas.
Hii mbinu inatumika kwa mapana na kwa Muda mrefu hasa kupitia werevu wa Hollywood. Kuna vitu vingi ambayo zamani vilionekana kama ni fiction lkn Sasa katika jamii vimekubalika.
Mfano mdogo kwenye cartoons Mind Blowing Examples of Predictive Programming in Cartoons | The Ghost Diaries
3: Michezo, Dini na Siasa na Ushabiki wa Mipira ya kimataifa
![]()
Vitu hivi navyo kwa sehemu Kubwa vimechukua sehemu ya fikra za mwanadamu huru. Tuliwaona wafuasi wa kibwetele wakiteketea kwa moto kanisani ili waende mbinguni kama matokeo ya kutawaliwa fikra na kuoshwa ubongo.
Michezo ilipaswa kuwa sababu kubwa kuleta umoja na afya, leo imekuwa kichocheo cha uadui kama zilivyo siasa. Umoja wa msingi kwa mambo yenye manufaa umekufa kutokana na akili zinazokumbatia mipasuko ya kisiasa, michezo na dini. Ukiangalia duniani hakuna vita ambayo dini na siasa haitakuwepo hata kwa mbali.
4: Vyakula, Vinywaji na Hewa
![]()
Tunaishi kwenye dunia ambayo Mtu akiishi chini ya hewa bandia ndio tunamsifia na kumuona anapewa na ndio wa kuigwa, vyakula vilivyojaa sumu, maji yaliyojaa contents ambazo zingine hazieleweki kwa nini siwepo na kwa kiwango hicho ndiyo vinavyosisitizwa kila kona hata penye uwezekano wa kupatikana vitu Asili na original. Vitu hivi vimethibitika kushusha Uwezo wa kiakili, vingine vinahamasisha hasira na jazba, vingine vinadhoofisha Uwezo wote wa mwanadamu taratibu ila kwa uhakika.
5: Madawa na addictions
![]()
Lengo kuu la wenye hekima na werevu wachache duniani ni kuhakikisha kila mmoja anakuwa addicted na kitu kinachomshusha Uwezo wake, kama sio drugs, movies, football, video games, pornography, chochote kile. Silaha kubwa ni kuhamasishwa kwa uwepo wa gonjwa la akili au saikolojia na kuwafafaua au kuwaelezea watu wote duniani au kwenye taifa flani kwa mwelekeo wa ugonjwa wa akili badala ya mwelekeo wa Uwezo wa mwanadamu kiakili.
Na madhara yake wengi wanajikuta wako katika misongo na kujishuku kama wako Sawa, na hii inatengeneza mwanya wa kuweka rehani Uwezo wake wa kibinadamu na kukabidhi wengine wampangie cha kufanya.
6: Computers, TV na Smartphone/simu
![]()
![]()
Vitu hivi vyote sio vibaya, ila kwa dunia ya Sasa vimetengeneza uteja kw kuweka visismuzi vitakavyokufanya usibanduke. Social engineers au wahandisi jamii wanaweka vitu vitakavyokufanya usibanduke na kuwepo kwako mbele ya screen kwa muda mrefu.
Kuna effects hadi ndani ya ubongo. Melatonin ni hormone inayotawala mzunguko wa usingizi kwa mwanadamu. Adui namba moja wa hormone hii ni mwanga hasa pale unapohitaji usingizi. Kukaa mbele ya kioo muda mrefu hasa usiku kutaathiri mzunguko wako wa usingizi. Kumbuka pale tunapolala ndipo ubongo unapata muda wa kujifanya usafi na kujiweka Sawa. Madhara ya kukaa na simu au mbele ya TV muda mrefu hasa usikuni kutengeneza shambani la kujitoa muhanga dhidi ya ubongo wako.
Mwisho :mwanadamu ni kiumbe mwenye Uwezo mkubwa, kuweka rehani Uwezo huu na kutufanya kuwa watumwa wawanadamu wenzetu ni kitu cha kukiepuka na kukikwepa sana. Unaweza usiamini au ukaamini ila lengo hapa nikuongeza ufahamu wa mambo ili kuongeza uelewe zaidi wa mienendo yetu.
Nini kifanyike?
Njia kuu ni kuwekeza zaidi ktk kusoma vitabu vinavyofikirisha na kukufanya utoe maoni yako kabla upinge au uunge mkono. Movies, TV programs nyingi, news nyingi zimekuwa programmed kukusisimua na sio kukufikirisha. Vipindi na scripts nyingi zinapelekwa haraka haraka ili ukoswe muda wa kufikiri.
Kama unaamini bibilia chukua Muda jisomee pia inashauriwa ujiunge na vikundi au taasisi za kidini zinazotoa kipaumbele mijadala yenye changamoto na sio kuburuzwa na kuambiwa cha kufanya muda wote.
Jifunze jinsi ubongo unavyofanya kazi hasa sehemu za Conscious na Subconscious Minds.
Karibuni kwa mawazo na changamoto..
nakupata mkuu, kuna wadau wanaweza kueleza vizuri lakini nikipata fursa nitaeleza kwa ufupi kusaidia kidogomkuu mseza mkulu tunajifunzaje izi counscious and subcounscious zinavyofanya kazi?
Kweli kabsa mkuu cku hzi watu wanavaa sawa wanaongea sawa wanapenda vitu sawa.Hapa tz Ndo kabisa vjana tunaisha madawa ya kulevya suruali za kuchanika mapaja kutokupenda elimu Na kufikiria kukithiri kwa ngono za jinsia moja vyote hvi vumetokana Na Uwepo wa baadhi ya mkundi ya watu wanaotaka kuitawala dunia kwa kudumazaa jamii haswa haswa dunia za tatu.![]()

Kujitambua kuna maana kubwa sana juu ya maamuzi ya mwanadamuNakupata mkuu asigwa. Kwa kujua haya yanasaidia angalau kuwa makini na maamuzi yetu madogo na makubwa, Ni kazi kuepuka ila angalau kujua haya mambo yapo inakuweka huru kwa asilimia flani.
Mkuu baada ya kusoma makala zako kadhaa, ninakuona kama mtu unayejielekeza kwenye masuala ya kutaka kufikiri vyema, ila unaponzwa na imani ya dini uliyoipokea.![]()

Sijui sana kuhusu hoja yako. Ila naamini Bibilia ni kitabu safi chenye uwezo wa kumfungua mwanadamu Bongo na kuwa huru zaidi. Dini zinaonekana na zinazidi kuwa hatarishi kutokana na kuibuka kwa watu wanaotumia bibilia kama too ya kubrainwash watu na kuwafanya watumwa. Nilimosema dini nilimaanisha Concious religious experience sio fuata mkumbo.Mkuu baada ya kusoma makala zako kadhaa, ninakuona kama mtu unayejielekeza kwenye masuala ya kutaka kufikiri vyema, ila unaponzwa na imani ya dini uliyoipokea.
Kiukweli unatakiwa ujue kuwa dini yoyote ile iwe ya kikristo, kiistamu, kibudha e.t.c. . Hakuna dini hata moja yenye lengo la kukutaka wewe ufikiri. . . No and it will never be. . .!!!!
Unachotakiwa ujiulize na kujijibu kama msomi ni kuwa kwanini mataifa makubwa yote yanatekeleza misheni zao kupitia mgongo wa dini? -jibu simple ni kuwa wengi wanafahamu kuwa hyo ndiyo njia rahisi ya kuwaingia watu na kuwatawala kisha kuingiza ishu zako wanazozitaka , huku wakiwa wameshauwa reasoning zao.
Dini kubwa zote zimetokana na mataifa yenye nguvu. . . . JIULIZE KWA NINI. .?? . Na hao hao ndio wanaochangia kuharibu hii dunia kwa kasi kubwa.
Ninachotaka kukwambia hapa ni kuwa hawa wakubwa wanatumia dini kama vivuli tu ila wana ishu zao nyingine kabisa. Believe me wapo wanaotumia dini kwa mema ila wengi si hivyo.
Hao unaoona wanatumia dini kusema mtu afikiri hawajui misingi ya dini; kiukwel ni kuwa dini yeyote inamtaka mtu kuamini kwanza kisha mengine yafuatwe. . . Amini tu, na uwe na imani full stop. Ukihoji ktk dini yoyote wanaku-regard kama MUASI - Refer history ya mababu zetu hasa walijaribu kuchallenge bible. .
Hvyo kama wewe unasema ni critical thinker na bado unajiattach na dini, basi we ni either mlaghai au hujui historia ya dini/kanisa/biblia vizuri. Kaa chini tukujuze. . .
Usikurupuke hata siku moja kuandika masuala ya thinking huku ukichanganya na mambo ya dini/imani ndani yake. .
Naomba nianze kukujibu kama ifuatavyo :-Sijui sana kuhusu hoja yako. Ila naamini Bibilia ni kitabu safi chenye uwezo wa kumfungua mwanadamu Bongo na kuwa huru zaidi. Dini zinaonekana na zinazidi kuwa hatarishi kutokana na kuibuka kwa watu wanaotumia bibilia kama too ya kubrainwash watu na kuwafanya watumwa. Nilimosema dini nilimaanisha Concious religious experience sio fuata mkumbo.
Binafsi naamini Bibilia na Imeniongezea dimension Ya imani na Amani ambazo hazipo kwenye vyanzo vingine maana naamini kwa kuelewa sio kuambiwa na kukariri.
Ninajua dini nyingi zitatumika kama vichocheo vya uovu, lakini hii haibatilishi ukweli kwamba Bibilia kama chanzo cha imani ninayoisisitiza ipo sahihi na hata hao unaowaona kama wanapotosha dini kwenye bibilia imeonya na kuwataadhalisha wasomaji wake mchana kweupe
Kabisa wakristo wengi twadanganywa sana kwan hatusomi Bible yaani tunasubiri mahubiri ndoo tufungue BibleSijui sana kuhusu hoja yako. Ila naamini Bibilia ni kitabu safi chenye uwezo wa kumfungua mwanadamu Bongo na kuwa huru zaidi. Dini zinaonekana na zinazidi kuwa hatarishi kutokana na kuibuka kwa watu wanaotumia bibilia kama too ya kubrainwash watu na kuwafanya watumwa. Nilimosema dini nilimaanisha Concious religious experience sio fuata mkumbo.
Binafsi naamini Bibilia na Imeniongezea dimension Ya imani na Amani ambazo hazipo kwenye vyanzo vingine maana naamini kwa kuelewa sio kuambiwa na kukariri.
Ninajua dini nyingi zitatumika kama vichocheo vya uovu, lakini hii haibatilishi ukweli kwamba Bibilia kama chanzo cha imani ninayoisisitiza ipo sahihi na hata hao unaowaona kama wanapotosha dini kwenye bibilia imeonya na kuwataadhalisha wasomaji wake mchana kweupe.
Naungana na Paulo wa kwenye bibilia ambaye alikuwa Great and critical thinker hadi baadhi ya maandiko yake yanawachanganya watu.
Aliwahi kupambana na great thinkers wa ugiriki kwa hoja na akawashinda. Na alipandishwa areopagus jukwaa ambao walisiamama critical thinkers, Great thinkers na elite philosophers na wakamsikiliza kwa hiyo hoja zako zote mkuu ni mfu.
Kama unaamini Bibilia kwa kufikiri na Imani mambo ambayo yako beyond science and evidence unakuwa na Double profit katika ulimwengu wa watu wanaofikiri sahihi.
Usipotoshe kwa kuwa umezungukwa na wapotoshaji au watu wanaodhalilisha image za imani