SOCIAL ENGINEERING: Jinsi binadamu tunavyoandaliwa kuwa mazombi na maroboti bila kujua

SOCIAL ENGINEERING: Jinsi binadamu tunavyoandaliwa kuwa mazombi na maroboti bila kujua

Mkuu shukrani,ni bandiko linalofikirisha.
Ki ukweli dunia hii imejaa mambo mengi yasio ya halisia na bahati mbaya yamefichwa sanaa
 
pia kuna mwalimu wangu mzuri sana aliyeweza kutafsiri hizi nyakati kwa kitabu takatifu kiitwacho QURAN uyu ndugu yetu huyu hapa Sheikh Imran Hosein uyu yeye atakupa mwelekeo mzuri tu,
 
Thanks sana Mkuu MSEZA MKULU kwa Elimu fikirishi.

Nimeona nami pasipo chuki wala hiana niongezee nyama kidogo kuhusu concept moj hapo juu "Group mind".

In this article we will discuss about the concept of group mind.


LeBon, the French sociologist used the term “Group Mind”, to explain the various characteristics of crowd behaviour. He viewed that when individuals come together in a crowd, a group mind or collective mind emerges. Guided by the group mind, they show a different type of behaviour than when they are alone. Thus it is due to LeBon that the concept of crowd mind or group mind came in to existence.

The observation of significant difference between the behaviour of the same individual in a lone situation and in a group or crowd situation led him to develop this concept. He held that as a member of a crowd the person behaves in such an irresponsible manner that after words he repents for the same.

He explains this by saying that when one sees other people of the group behaving in particular way, his sense of responsibility decreases and due to social facilitation, sense of encouragement and competition he vomits all the suppressed and repressed desires, tendencies and wishes.

During this period the concept of group mind or crowd mind was accepted and psychologists and sociologists thought that social psychology can explain every human behaviour with the concept of group and collective phenomena.

But Allport has criticised this concept of group mind completely, and it has no existence today. Allport does not deny that an individual behaves in a different way when he is a member of different groups. But to explain this, he says one need not use or coin the concept of group mind.

This can be explained by the individual mind. In the beginning of 20th century Durkheim also talked a good deal of the relations between individuals group and society. McDougall took this concept of group mind to explain the behaviour of individuals in highly organized, stable and well integrated groups like the church and army.

The concept of group mind has also been used to explain the peculiarities in behaviour of social and caste group.

Psychologists in favour of crowd or group mind argue that the person in crowd or an active group looses his personal consciousness and sense of responsibility and is guided by unconscious desires, repressed urges and crowd consciousness.

Consciousness depends upon the functioning of neural structure and nervous systems possessed by individual members. But the crowd of the group does not have nervous system of its own, they argued. This is an important fallacy of crowd mind or group mind.

The concept of group mind has no existence today. It has been completely abandoned because of the fact that the same individual shows different behaviour at different situations. Allport conducted several experimental studies in group and individual situations and found that there is interaction between various members of a group.

A influences B and is also influenced by B. He found that the majority of subjects showed improvement in speed and quantity of work in a group situation than when alone because of sense of cooperation, competition and social facilitation.

F.H. Allport was the staunch opposer of the concept of group mind or collective mind and today it is totally abandoned by social psychologists. But since the group functions as an unit, what a psychologist can do with an individual mind, some psychologists question.

So in place of group mind modern day social psychologists like Lewin and others have used the concept of group dynamics where groups are in dynamic relation with each other.

Group dynamics studies how the behaviour changes upon external conditions. In place of group mind or collective mind, laws of group behaviour need he formulated where the basic unit of analysis is the group and not the individual. Such laws of group behaviour should complement the laws of individual behaviour. But the group behaviour need not be stated in individual terms.

Kretch and Crutchfield (1947) held that a scientific and mature approach to group dynamics must seek out new concepts, new properties, new variables with which to characterize the group as a whole.
 
Hili wazo linawafaa sana wanaoamini dini, Maandishi ya dini yanayoaminika yamehakikishwa kuwepo kabla ya hizi harakati za social and group thinking na kuawaliwa kwa fikra kwa wanadamu. Sasa yanatumika vibaya.

Mfano Bibilia inatumika kuwabrain wash watu wengi wasifikri vyema, Kitabu Quran inatumika vibaya kuwabrainwash baadhi ya watu kujiua au kujilipua wenda kinyume na lengo. Hapa lengo langu ni kusoma na kutafakari haya maneno na kuepuka hatari ya kujiunga na vikundi ambayo anayetakiwa kureason na kuargue ni mtu mmoja tu na wewe unakuwa digested ule atakachokupa.

Naamini vitabu vya dini hasa bibilia ninayoiamini kama ikisomwa kwa utulivu na umakini inaweza kuwa mahala salama pa kuhifadhi fikra zetu na kuzilinda dhidi ya vamizi hizi za kifikra.

south-church1.jpg

Grass-eating-500x376.jpg
Kazi ya Bible hii !
 
Tv, Movie, Magazeti, mitandao ya kijamii mingi nimeweza ila JF na Whatsup bado zinanisumbua!!!
Ah ah ah mkuu mimi.whatsapp na mengine nimeweza ila jf duuh

Imenikamata
Nitaiachaje kama kuna mada kama hizi aisee
 
Naomba nianze kukujibu kama ifuatavyo :-
1.Umesema hujui sana kuhusu hoja yangu - Hii inatosha kuku-disqualify kuwa hili eneo hulijui vizuri .
2. Umesema "Ila naamini Bibilia ni kitabu safi chenye uwezo wa kumfungua mwanadamu Bongo na kuwa huru zaidi" - Hapa nabisha kuwa kinaweza kukufungua bongo kwa kiasi fulani ila kitakunyima uhuru
3. Umesema " Dini zinaonekana na zinazidi kuwa hatarishi kutokana na kuibuka kwa watu wanaotumia bibilia kama tool ya kubrainwash watu na kuwafanya watumwa" - kwahyo hapa unakubaliana na mimi sio.
4. Unapozingumzia Concious religious experience sio fuata mkumbo unamaanisha dini gani hizo ni Concious na zipi ni fuata mkumbo

NAOMBA NIKUSHAURI KUWA, BIBLIA NI PANA SANA NA SIO SIMPLE KAMA UNAVYOTAKA WATU WAAMINI-Kiufupi ni kuwa ndani ya bible kumejaa kila aina ya elimu iwe nzuri au mbaya. . . Ndio maana kwa mfano mdogo wa pombe mm naweza tumia biblia itetea na hapohapo nikabadilika na kutumia biblia hiyohyo kuipinga pombe-kama ulikuwa hujui hilo nitafute.
Na sio suala la pombe tu , mambo mengi kwenye bible yameandikwa kama katazo ila ukisoma zaidi na kupekuwa bible utaona yameruhusiwa. Mfano mwingine ni kuua -ktk agano la kale Mungu mwenyewe ndio alikuwa akiruhusu na kuamuru kuua ila agano jipya anabadilika na kisema tusiue. Hiyo ni mifano myepesi tu. . Ipo na mingine zaidi.

Ninachotaka kusema hapa ni kuwa katafute ASILI YA BIBLIA ni nini ndio utaelewa waliyoiweka na kuiandika bible walikuwa kina nani na kwann waliiandika. . Usije ukanijia na majibu yako kuwa iliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu -nitakucheka sana maana utakuwa hufahamu lolote ila kukaririshwa.

Unavosema Bible imekisaidia kufikiri ni kweli inawezekana ila kwa ufupi ni kuwa ktk biblia wachache sana inawakuza ktk kufikiri ila wengi wanaangukia ktk kukariri na kuamin pasipo ushirikishwaji wa akili.

Inaezekana kweli wewe kama wewe imekusaidia ila usijaribu ku-generalize kwa watu wote , maana kila mmoja huipokea biblia kivyake. Na tambua kuwa biblia ni pana sana tena sana. .
Kila siku tafsiri/mafunuo mapya yanatoka
tukubaliane kutokukubaliana tunapotofautiana mkuu maana tutatoka nje ya mada ukianzisha bandiko juu ya changamoto unazotoa nitapita na mimi nitoe maoni yangu.
Ila kuhusu uhalali wa bibilia na origin yake nimefuatilia na naendelea kufuatilia sina shaka kabisa ni kitabu sahihi 100% na ni cha kuaminiwa na watu wote duniani sio wayahudi tu japo kuna nadharia nyingi nje ya kitabu hicho kupinga uhalali wa yaliyomo lkn hawabatilishi ukweli huu. Huko tusiende sana maana tutatoka nje ya mstari mkuu.
 
mamlaka ya mwanamke kidini ni machache mno ambayo hayamfanyi akawa mtawala wa familia, hapa nimeongea kifupi sana, ila kwakua hapa kuna watu wana uwezo wakujiongeza mtanielewa, angalia leo hii mwanamke alivyo kua juu ya mamlaka, kwanini? ni ili afanikishe na afanye wepesi wa kufikia malengo ya mtawala kututawala kila idara na ndo maaana kule marekani wakagundua ile (Toxic masculinity) (this one of the ways in which Patriarchy is harmful to men. It refers to the socially-constructed attitudes that describe the masculine gender role as violent, unemotional, sexually aggressive, and so forth)
sasa nikirudi katika imani yangu ya Kiislamu imeyasema haya, ipasavyo kwenye Quran, biblia imechakachuliwa na tunaweza kuiiita cyclepath, tusome tu kwkakua ni ukweli tunautafuta au sio
 
Mwanzisha uzi hongera kwa kujitahidi kuhamasisha turudi zama za ujima tule mizizi, tuvae magome na kuabudu mizimu
Ila kumbuka tuu TEHEMA na vyombo vya habari vinafaida na hasara kujadili hasara pekee na kuacha faida zake ni tatizo
 
How-to-Recognize-and-Overcome-Mind-Control-How-TV-Affects-Your-Brain-Chemistry-for-the-Worst-e1462108173291-1024x691.jpg

quote-if-we-understand-the-mechanism-and-motives-of-the-group-mind-it-is-now-possible-to-control-edward-bernays-69-66-17.jpg


Unaweza ukapaniki nitakapokwambia mawazo mengi unavyodhani ni yako sio yako ni vitu ulivyopandikiziwa Bila kujua. Sisi tunaamini uwepo wa Mungu na uumbaji tunaamini pia Mwanadamu aliumbwa na Uwezo huru wa kufikiri na kuchagua.

Vita kubwa inayoendelea Sasa chini ya ardhi sio dhidi ya Magaidi, waasi au religious extremists Bali ni kumuondolea mwanadamu zawadi hii ya pekee aliyopewa na Mungu na vita hivi hadi sasa imefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 50 duniani kote. Waandisi jamii ndio Moyo na silaha ya maangamizi katika vita hivi.

Media-Control-1764x700.jpg


Lengo la bandiko hili sio kutishana Bali ni kuongeza uelewe halisi wa mambo maana ushahidi usio na Shaka umeonyesha kujua michezo hii kutakupunguzia asilimia kubwa ya kuwa muhanga wa janga hili. Mambo haya yanafanyika kupitia Mind control techniques,Brain Washing techniques, subliminal sensations na vifaa vikubwa vinavyowezesha ni TV, Movies, Adverts, Social Media hivi ndio mama.

Zifuatazo ni jinsi 06 unavyoweza kunaswa katika mtego ya kutawaliwa bongo

1: Matangazo ya Biashara na Propaganda

img_pages_how-subliminal-messages-work_carl-jung-quote.jpg


Asilimia kubwa ya watu wanavyovaa, kula, kunywa, kunyoa style, aina ya vitu wanavyopenda sio matokeo ya uamuzi wao wa Hiyari Bali Matangazo na ushawishi wake. Leo duniani habari ikathibitika kama ni ya kweli, au kitu kitaonekana ni sahihi au kizuri au chafaa kutumika katika jamii kama kimeandikwa kwenye vyombo vya habari mbalimbali vya kimataifa visivyohusiana.

Lakin ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya habari zinazoenea duniani na asilimia kubwa ya vyombo vya habari vikubwa ulimwenguni vinamilikiwa na Makampuni sita tu tena yenye uhusiano wa karibu.

Kwa maana nyingine wanaweza kuamua kuja na habari yoyote kukuaminisha jambo lolote wakati wowote. Simaanishi tusiangalie habari Bali tujiongeze kwa akili zetu pia ktk kupambanua.

Kwa nini kuna uwezekano zikwepo jumbe (subliminal messages) ambazo zimechujwa na kurushwa kwenye media zote duniani Bila kujua asilimia kubwa zina uhusiano au Kuna mipango nyuma ya propaganda hizo.

Leo Kuna watu wanawachukia waarabu kwa sababu media zimesema, na Kuna watu wanawachukia wamarekani kwa sababu media zimesema wanawaonea waarabu.

Mfano kwenda kuangalia Movies ukiwa na Bisi na Soda au wanawake kuacha vifua nusu wazi au kutamani kuwa na vifua/boobs vikubwa wengi sio kwa hiyari zao bali ni matokea ya group thinking inayotokea kidogo kidogo ila kwa uhakika.

2: Watu kupangwa kukubali matukio kabla hayajatokea /Predictive programming

alias57nw4.jpg

blogger-image--523631323.jpg


Dhana hii bado wengi haiwaingii akilini. Kubadilika muonekano hasa wa dada kwa wiki anaweza kutokea kwa mionekano kama saba tofauti hii ni product ya hollywood and media programming, Leo tunaweza kumkadiria nani gaidi, nani mwema, Nani wa kumuogopa, nani anaongea ukweli sio kwa akili zetu bali kwa mawazo tuliyaamini kupitia pre-programmed agendas.

Hii mbinu inatumika kwa mapana na kwa Muda mrefu hasa kupitia werevu wa Hollywood. Kuna vitu vingi ambayo zamani vilionekana kama ni fiction lkn Sasa katika jamii vimekubalika.

Mfano mdogo kwenye cartoons Mind Blowing Examples of Predictive Programming in Cartoons | The Ghost Diaries

3: Michezo, Dini na Siasa na Ushabiki wa Mipira ya kimataifa

master_of_puppets_by_skippywoodfood.png


Vitu hivi navyo kwa sehemu Kubwa vimechukua sehemu ya fikra za mwanadamu huru. Tuliwaona wafuasi wa kibwetele wakiteketea kwa moto kanisani ili waende mbinguni kama matokeo ya kutawaliwa fikra na kuoshwa ubongo.

Michezo ilipaswa kuwa sababu kubwa kuleta umoja na afya, leo imekuwa kichocheo cha uadui kama zilivyo siasa. Umoja wa msingi kwa mambo yenye manufaa umekufa kutokana na akili zinazokumbatia mipasuko ya kisiasa, michezo na dini. Ukiangalia duniani hakuna vita ambayo dini na siasa haitakuwepo hata kwa mbali.

4: Vyakula, Vinywaji na Hewa

8391.jpg


Tunaishi kwenye dunia ambayo Mtu akiishi chini ya hewa bandia ndio tunamsifia na kumuona anapewa na ndio wa kuigwa, vyakula vilivyojaa sumu, maji yaliyojaa contents ambazo zingine hazieleweki kwa nini siwepo na kwa kiwango hicho ndiyo vinavyosisitizwa kila kona hata penye uwezekano wa kupatikana vitu Asili na original. Vitu hivi vimethibitika kushusha Uwezo wa kiakili, vingine vinahamasisha hasira na jazba, vingine vinadhoofisha Uwezo wote wa mwanadamu taratibu ila kwa uhakika.

5: Madawa na addictions

aa-Big-Pharma-Dees-great-one.jpg


Lengo kuu la wenye hekima na werevu wachache duniani ni kuhakikisha kila mmoja anakuwa addicted na kitu kinachomshusha Uwezo wake, kama sio drugs, movies, football, video games, pornography, chochote kile. Silaha kubwa ni kuhamasishwa kwa uwepo wa gonjwa la akili au saikolojia na kuwafafaua au kuwaelezea watu wote duniani au kwenye taifa flani kwa mwelekeo wa ugonjwa wa akili badala ya mwelekeo wa Uwezo wa mwanadamu kiakili.

Na madhara yake wengi wanajikuta wako katika misongo na kujishuku kama wako Sawa, na hii inatengeneza mwanya wa kuweka rehani Uwezo wake wa kibinadamu na kukabidhi wengine wampangie cha kufanya.

6: Computers, TV na Smartphone/simu

images

images


Vitu hivi vyote sio vibaya, ila kwa dunia ya Sasa vimetengeneza uteja kw kuweka visismuzi vitakavyokufanya usibanduke. Social engineers au wahandisi jamii wanaweka vitu vitakavyokufanya usibanduke na kuwepo kwako mbele ya screen kwa muda mrefu.

Kuna effects hadi ndani ya ubongo. Melatonin ni hormone inayotawala mzunguko wa usingizi kwa mwanadamu. Adui namba moja wa hormone hii ni mwanga hasa pale unapohitaji usingizi. Kukaa mbele ya kioo muda mrefu hasa usiku kutaathiri mzunguko wako wa usingizi. Kumbuka pale tunapolala ndipo ubongo unapata muda wa kujifanya usafi na kujiweka Sawa. Madhara ya kukaa na simu au mbele ya TV muda mrefu hasa usikuni kutengeneza shambani la kujitoa muhanga dhidi ya ubongo wako.

Mwisho :mwanadamu ni kiumbe mwenye Uwezo mkubwa, kuweka rehani Uwezo huu na kutufanya kuwa watumwa wawanadamu wenzetu ni kitu cha kukiepuka na kukikwepa sana. Unaweza usiamini au ukaamini ila lengo hapa nikuongeza ufahamu wa mambo ili kuongeza uelewe zaidi wa mienendo yetu.

Nini kifanyike?

Njia kuu ni kuwekeza zaidi ktk kusoma vitabu vinavyofikirisha na kukufanya utoe maoni yako kabla upinge au uunge mkono. Movies, TV programs nyingi, news nyingi zimekuwa programmed kukusisimua na sio kukufikirisha. Vipindi na scripts nyingi zinapelekwa haraka haraka ili ukoswe muda wa kufikiri.

Kama unaamini bibilia chukua Muda jisomee pia inashauriwa ujiunge na vikundi au taasisi za kidini zinazotoa kipaumbele mijadala yenye changamoto na sio kuburuzwa na kuambiwa cha kufanya muda wote.

Jifunze jinsi ubongo unavyofanya kazi hasa sehemu za Conscious na Subconscious Minds.

Karibuni kwa mawazo na changamoto..
Vivyo hivyo hata wewe unafanya mind control kwa kupitia media. Yaana unataka kuwafanya watu wakuamini wewe mwenyewe na kuacha kufanya mambo Mengine
 
Ni kweli kabisa haya mambo tunayaona na kuyachukulia kimzaha lakini yana impact kubwa sana katika bongo zetu chukulia mfano movies mbalimbali tuangaliazo zitufundisha kuona mathalani jambo la kuua kuwa ni la kawaida sana na hatutakiwi kumchukulia poa aliekuzingua, kila moie imetawaliwa na mauaji aidha kwa kutumia visu, bunduki na kadhalika hivyo sasa main theme ya haya mambo ya kileo kufundisha ukatiri ili tuamini hata at large scale pale nchi za magharibi zinapovamia nchi zinazoendelea tuone ni jambo la kawaida lakini nyuma yake kuna agenda za siri.
 
Mkuu hapo kwenye michezo sikubaliani na wewe kabisa. Michezo imekua kichocheo Cha uadui?? Hapana sema jingine kwa hili ni uongo.
 
Yaah somo zuri mnoo. Tatizo kubwa la watz ni uwezo Mdogo wetu wa kufikiri. Unapelekea kutojiuliza kwann hiki kimetoa? Ama kinafaida gani?
 
Back
Top Bottom