SOCIAL ENGINEERING: Jinsi binadamu tunavyoandaliwa kuwa mazombi na maroboti bila kujua

Huu ni mtego wa panya, kwa maana unanasa wote, tamaa za kipuuzi tu
 
Kweli kabsa mkuu cku hzi watu wanavaa sawa wanaongea sawa wanapenda vitu sawa.Hapa tz Ndo kabisa vjana tunaisha madawa ya kulevya suruali za kuchanika mapaja kutokupenda elimu Na kufikiria kukithiri kwa ngono za jinsia moja vyote hvi vumetokana Na Uwepo wa baadhi ya mkundi ya watu wanaotaka kuitawala dunia kwa kudumazaa jamii haswa haswa dunia za tatu.
 
Fantastic my friend sema Ni wachache watakaokuelewa.
We are brain washed
Tel vision Program. They program ur vision.
Wanakuambia kipi cha kufikiri na sio jinsi ya kufikiri.
 
Fikra huru ndio Uhuru wa binadamu but watu hawataki hili wanataka kukontrol bongo zetu zoteee.....because we believe everything media says
 
Nimewahi kuwaza sana juu ya soda bia viroba wine na pombe za kienyeji. Ukinywa safari unalewa lakini unakuwa na hisia tofauti na ukinywa serengeti au kilimanjaro au tusker japo zote ni bia na zinalewesha. Na ukinywa bia aina ya kibo unakuwa umelewa lakini unaona vizuri sana na kuwaza mambo ya maisha mazuri tu sio shida. Ila mtu aliyekunywa banana au mbege au mtukuru au ulanzi mara nyingi wanaathirika postive maa a akiwa anarudi nyumbani lazma umsikie anaimba sana tena nyimbo za kumsifu Mungu. Y this??
Siku hizi kuna maziwa ya unga. Kiukweli sijasoma sayansi ila maziwa hayawezi kuwa unga hata siku moja na watumiaji wazuri ni mtu aliyesoma na tajiri. Ndio maana nasemaga kusoma sio kipimo cha elimu yako na kutajirika sio kuwa na akili. Masai hakuwa fala kukimbilia porini na kuwaachia wazungu arusha. Bandiko hili linahitimisha utabiri wa kinabii naona yote yaliyopo yamesemwa. Eti israel taifa teule???
Tz je? Na wanaikandia misri kwa sababu ni ya watu weusi. Hizi propaganda jamani.
Yesu wahi tu mi nimechoka bwana.
 
Nakupata mkuu asigwa. Kwa kujua haya yanasaidia angalau kuwa makini na maamuzi yetu madogo na makubwa, Ni kazi kuepuka ila angalau kujua haya mambo yapo inakuweka huru kwa asilimia flani.
Kujitambua kuna maana kubwa sana juu ya maamuzi ya mwanadamu
 
Mkuu baada ya kusoma makala zako kadhaa, ninakuona kama mtu unayejielekeza kwenye masuala ya kutaka kufikiri vyema, ila unaponzwa na imani ya dini uliyoipokea.
Kiukweli unatakiwa ujue kuwa dini yoyote ile iwe ya kikristo, kiistamu, kibudha e.t.c. . Hakuna dini hata moja yenye lengo la kukutaka wewe ufikiri. . . No and it will never be. . .!!!!

Unachotakiwa ujiulize na kujijibu kama msomi ni kuwa kwanini mataifa makubwa yote yanatekeleza misheni zao kupitia mgongo wa dini? -jibu simple ni kuwa wengi wanafahamu kuwa hyo ndiyo njia rahisi ya kuwaingia watu na kuwatawala kisha kuingiza ishu zako wanazozitaka , huku wakiwa wameshauwa reasoning zao.
Dini kubwa zote zimetokana na mataifa yenye nguvu. . . . JIULIZE KWA NINI. .?? . Na hao hao ndio wanaochangia kuharibu hii dunia kwa kasi kubwa.
Ninachotaka kukwambia hapa ni kuwa hawa wakubwa wanatumia dini kama vivuli tu ila wana ishu zao nyingine kabisa. Believe me wapo wanaotumia dini kwa mema ila wengi si hivyo.

Hao unaoona wanatumia dini kusema mtu afikiri hawajui misingi ya dini; kiukwel ni kuwa dini yeyote inamtaka mtu kuamini kwanza kisha mengine yafuatwe. . . Amini tu, na uwe na imani full stop. Ukihoji ktk dini yoyote wanaku-regard kama MUASI - Refer history ya mababu zetu hasa walijaribu kuchallenge bible. .

Hvyo kama wewe unasema ni critical thinker na bado unajiattach na dini, basi we ni either mlaghai au hujui historia ya dini/kanisa/biblia vizuri. Kaa chini tukujuze. . .
Usikurupuke hata siku moja kuandika masuala ya thinking huku ukichanganya na mambo ya dini/imani ndani yake. .
 
ukizungumzia watu wajiunge na vikundi vya dini inamaana na wewe unahamasisha watu wazidi kuwa mazombi.
 
Sijui sana kuhusu hoja yako. Ila naamini Bibilia ni kitabu safi chenye uwezo wa kumfungua mwanadamu Bongo na kuwa huru zaidi. Dini zinaonekana na zinazidi kuwa hatarishi kutokana na kuibuka kwa watu wanaotumia bibilia kama too ya kubrainwash watu na kuwafanya watumwa. Nilimosema dini nilimaanisha Concious religious experience sio fuata mkumbo.
Binafsi naamini Bibilia na Imeniongezea dimension Ya imani na Amani ambazo hazipo kwenye vyanzo vingine maana naamini kwa kuelewa sio kuambiwa na kukariri.

Ninajua dini nyingi zitatumika kama vichocheo vya uovu, lakini hii haibatilishi ukweli kwamba Bibilia kama chanzo cha imani ninayoisisitiza ipo sahihi na hata hao unaowaona kama wanapotosha dini kwenye bibilia imeonya na kuwataadhalisha wasomaji wake mchana kweupe.

Naungana na Paulo wa kwenye bibilia ambaye alikuwa Great and critical thinker hadi baadhi ya maandiko yake yanawachanganya watu.
Aliwahi kupambana na great thinkers wa ugiriki kwa hoja na akawashinda. Na alipandishwa areopagus jukwaa ambao walisiamama critical thinkers, Great thinkers na elite philosophers na wakamsikiliza kwa hiyo hoja zako zote mkuu ni mfu.

Kama unaamini Bibilia kwa kufikiri na Imani mambo ambayo yako beyond science and evidence unakuwa na Double profit katika ulimwengu wa watu wanaofikiri sahihi.

Usipotoshe kwa kuwa umezungukwa na wapotoshaji au watu wanaodhalilisha image za imani
 
Naomba nianze kukujibu kama ifuatavyo :-
1.Umesema hujui sana kuhusu hoja yangu - Hii inatosha kuku-disqualify kuwa hili eneo hulijui vizuri .
2. Umesema "Ila naamini Bibilia ni kitabu safi chenye uwezo wa kumfungua mwanadamu Bongo na kuwa huru zaidi" - Hapa nabisha kuwa kinaweza kukufungua bongo kwa kiasi fulani ila kitakunyima uhuru
3. Umesema " Dini zinaonekana na zinazidi kuwa hatarishi kutokana na kuibuka kwa watu wanaotumia bibilia kama tool ya kubrainwash watu na kuwafanya watumwa" - kwahyo hapa unakubaliana na mimi sio.
4. Unapozingumzia Concious religious experience sio fuata mkumbo unamaanisha dini gani hizo ni Concious na zipi ni fuata mkumbo

NAOMBA NIKUSHAURI KUWA, BIBLIA NI PANA SANA NA SIO SIMPLE KAMA UNAVYOTAKA WATU WAAMINI-Kiufupi ni kuwa ndani ya bible kumejaa kila aina ya elimu iwe nzuri au mbaya. . . Ndio maana kwa mfano mdogo wa pombe mm naweza tumia biblia itetea na hapohapo nikabadilika na kutumia biblia hiyohyo kuipinga pombe-kama ulikuwa hujui hilo nitafute.
Na sio suala la pombe tu , mambo mengi kwenye bible yameandikwa kama katazo ila ukisoma zaidi na kupekuwa bible utaona yameruhusiwa. Mfano mwingine ni kuua -ktk agano la kale Mungu mwenyewe ndio alikuwa akiruhusu na kuamuru kuua ila agano jipya anabadilika na kisema tusiue. Hiyo ni mifano myepesi tu. . Ipo na mingine zaidi.

Ninachotaka kusema hapa ni kuwa katafute ASILI YA BIBLIA ni nini ndio utaelewa waliyoiweka na kuiandika bible walikuwa kina nani na kwann waliiandika. . Usije ukanijia na majibu yako kuwa iliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu -nitakucheka sana maana utakuwa hufahamu lolote ila kukaririshwa.

Unavosema Bible imekisaidia kufikiri ni kweli inawezekana ila kwa ufupi ni kuwa ktk biblia wachache sana inawakuza ktk kufikiri ila wengi wanaangukia ktk kukariri na kuamin pasipo ushirikishwaji wa akili.

Inaezekana kweli wewe kama wewe imekusaidia ila usijaribu ku-generalize kwa watu wote , maana kila mmoja huipokea biblia kivyake. Na tambua kuwa biblia ni pana sana tena sana. .
Kila siku tafsiri/mafunuo mapya yanatoka
 
Kabisa wakristo wengi twadanganywa sana kwan hatusomi Bible yaani tunasubiri mahubiri ndoo tufungue Bible
 
woow!!!! very interesting ndugu yangu mimi ni miongoni mwa wasomaji wazuri unaweza kuendelea kuongeza ujuzi wako hapa kwa uyu ndugu yetu jason Jason A, na pia kuna kitabu nakitafuta hope unaweza nishauri pakukipata,kinairwa call to action and the american catholic rebellion, kwenye kava lake limechorwa picha ya askofu kavaa kipadri na chini ameweka ile sign ya triangle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…