Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

He is severely obsessed with me.

Nadhani anadhania wewe ndo mimi kutokana na mchango wako kwenye uzi mmoja hivi uliokuwa unanizungumzia mimi.

Huyu ndugu seems to be so broke that he has to share his despondency with everyone.

Kuna uzi nilifungua wiki kadhaa zilizopita jukwaa la biashara, uchumi na ujasiriamali. Nikajibu 1 ya comment >mtu aliuliza nina ukaribu gani na Dr. Strive Masiyiwa (he's a Zim-South African - british billionaire ambae ni mentor wng). Huyo mpuuzi ndio akaibukia kuanzia hapo.

Sasa kila sehemu akiniona lazima aje kunirushia shades. Anahisi kila mtu yupo desperate na maisha.
 
Ni kweli kila mtu anawaombea wasidhurike na wamaiomba serikakali ifuatilie lakini pamoja na maombi hayo hapo inawezekana kabisa ukapeleka kesi ya ngurwe hakimu ni ngiri hapo sijui ni nini kitatokea!
 
Swala siyo kusoma msg inshu nani anayefanya uhuni wa kiteka watu na kama mtu kafanya makosa kwa nn wasipelekwe polisi na kama chombo cha serikali kinashindwa kufuata sheria huo ni ugaidi na gaidi cku zote haheshimiki hata kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…