ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,884
- 17,096
He is severely obsessed with me.
Nadhani anadhania wewe ndo mimi kutokana na mchango wako kwenye uzi mmoja hivi uliokuwa unanizungumzia mimi.
Huyu ndugu seems to be so broke that he has to share his despondency with everyone.
Kuna uzi nilifungua wiki kadhaa zilizopita jukwaa la biashara, uchumi na ujasiriamali. Nikajibu 1 ya comment >mtu aliuliza nina ukaribu gani na Dr. Strive Masiyiwa (he's a Zim-South African - british billionaire ambae ni mentor wng). Huyo mpuuzi ndio akaibukia kuanzia hapo.
Sasa kila sehemu akiniona lazima aje kunirushia shades. Anahisi kila mtu yupo desperate na maisha.