Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Wasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
Na wewe ni idiot
Yaan unawapangia wasanii cha kuimba....hivi hakuna wasanii ambao waliimba kuhusu ufisadi? endelea kusikiliza taarabu na mashosti wenzio
 
Mimi nawashangaa watekaji wa kibongo unapomteka MTU lazima kuna kitu utakuwa una kitu unahitaji,kama n pesa au chochote unachohitaj unasema ili iwe rahis kwa ndugu na jamaa kukupatia unachotaka.[HASHTAG]#free[/HASHTAG] Roma na mchizi mona
 
Na wewe ni idiot
Yaan unawapangia wasanii cha kuimba....hivi hakuna wasanii ambao waliimba kuhusu ufisadi? endelea kusikiliza taarabu na mashosti wenzio
You're idiot associate of chama mfu chadema
 
Bashite ndo muhusika mkuu,ukitaka kucheza dili usicheze na hili lizee lisilo na rinda
 
Wakuu habari za jioni, inasemekana kutekwa kwa jamaa na wenzie ni kiki mojawapo iliyoandaliwa,inasemekana kuna watu walienda ofisini kwake na akawaambia juma pili atakuwa ameshapatikana.baadhi ya watu wameandika hivyo kwenye page zao.

SWALI:
kama Jeshi la polisi halijui na halina uhakika upatikani wao kwann yy ahakikishie juma pili?
1b7d376f3f900440933266ced7263906.jpg

a04e307e87993919a0aab6f37dc696fc.jpg
 
Hapa mzee malecela alipoteza uzao aisee.... ila naskia ni toto la nje ndo maana kichwani nehi.
 
Tanzania tunaishi vizuri ila hawa TISS_RAPA wanataka kuvuruga nchi,Watambue wananchi wakichoka wataanza kuwachinja hao TISS_RAPA M1 baada ya m1.
Bashite ameanzisha style mpya ya uvamizi.Tuseme nooooo
 
Back
Top Bottom