Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Ku discuss kila Post ya mpumbavu William Malecela ni kutokuitendea haki hii forum yetu..amjue asimjue hana msaada wowote alaf yeye ni nani kwani mpumbavu mmoja tu
 
Katika pita pita zangu nimeona Uzi wa le mutuz amesema hawajui Roma na mwenzie aliyetekwa

Najaribu kufikiria ni kwel hawajui au Mzee wetu naye anazeeka vibaya kwa kuendekeza unafiki

Kaandika HIV

lemutuz_nation - LIVE HARD TALK:- Ok nimepata sms nyingi sana na comments pia kuhusu hawa Vijana Wawili ambao to be honest FACT IS SIWAFAHAMU KABISA ...ila nimetumiwa picha zao nyingi so nikaamua kutumia hii moja ....HOWEVER ...ninaomba kusema hivi sijui all the FACTS on them ila I promise nitazitafuta na NITASEMA SOMETHING BUT ONLY BASED ON FACTS ...kwa sasa sina FACTS ...sijui anything about them na so far sijaona FACTS zikisemwa on them zaidi ya speculations na hisia ..huwa ninaongea on FACTS so far sina .....so for this naomba tu tuheshimiane guys na muwe na siku njema sana! - le Mutuz Nation
39339dc476f663eb79554c4ef13c7c91.jpg
Anamfahamu tu aliemtoa marinda
 
Ujinga ni pale anapoweka na picha yake pembeni huyu mzee p. imbi sana
 
Huyu mzee mbona Anazeeka vibaya sana. Ila sishangai maana hana akili. Mwili jumba akili kisoda
 
Kuna wakat nilikua nasoma post za hyu jamaa nkawa naona anaandika vtu vya maana sana half anawaita watu mburula baadae nkagundua kua kumbe yeye ndo mburula namba moja.Anaandika pumba kabisa.So hicho alichoandika Leo ni MWendelezo wa pumba zake na umburula uliokuhuhu
 
Katika pita pita zangu nimeona Uzi wa le mutuz amesema hawajui Roma na mwenzie aliyetekwa

Najaribu kufikiria ni kwel hawajui au Mzee wetu naye anazeeka vibaya kwa kuendekeza unafiki

Kaandika HIV

lemutuz_nation - LIVE HARD TALK:- Ok nimepata sms nyingi sana na comments pia kuhusu hawa Vijana Wawili ambao to be honest FACT IS SIWAFAHAMU KABISA ...ila nimetumiwa picha zao nyingi so nikaamua kutumia hii moja ....HOWEVER ...ninaomba kusema hivi sijui all the FACTS on them ila I promise nitazitafuta na NITASEMA SOMETHING BUT ONLY BASED ON FACTS ...kwa sasa sina FACTS ...sijui anything about them na so far sijaona FACTS zikisemwa on them zaidi ya speculations na hisia ..huwa ninaongea on FACTS so far sina .....so for this naomba tu tuheshimiane guys na muwe na siku njema sana! - le Mutuz Nation
39339dc476f663eb79554c4ef13c7c91.jpg

Nina mtoto Wa darasa la 4 nina uhakika akisima ma na huyu babu hawezi kupambana nae

Le mutuz ni kubwa jinga
 
Huyu ni hopeless, wala hafai kujadiliwa hapa JF, babu wa miaka 60 ana behave kama mtoto wa miaka 16.
 
Hata sisi hatumfaham lemutu ni nan hasa
 
Kweli huyu mzee hajielewi. Tamaa mbaya sana, mtu mzima anaumbuka sasa.
 
Wenzie kina Pinda na Jakaya sasa wanalea wajukuu ye bado yupo tu anadoea bia kwenye minuso.
 
Back
Top Bottom