Katika pita pita zangu nimeona Uzi wa le mutuz amesema hawajui Roma na mwenzie aliyetekwa
Najaribu kufikiria ni kwel hawajui au Mzee wetu naye anazeeka vibaya kwa kuendekeza unafiki
Kaandika HIV
lemutuz_nation - LIVE HARD TALK:- Ok nimepata sms nyingi sana na comments pia kuhusu hawa Vijana Wawili ambao to be honest FACT IS SIWAFAHAMU KABISA ...ila nimetumiwa picha zao nyingi so nikaamua kutumia hii moja ....HOWEVER ...ninaomba kusema hivi sijui all the FACTS on them ila I promise nitazitafuta na NITASEMA SOMETHING BUT ONLY BASED ON FACTS ...kwa sasa sina FACTS ...sijui anything about them na so far sijaona FACTS zikisemwa on them zaidi ya speculations na hisia ..huwa ninaongea on FACTS so far sina .....so for this naomba tu tuheshimiane guys na muwe na siku njema sana! - le Mutuz Nation