Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Wasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
Uwezi ukawaita watanzania/wasanii wenzako ni idiot unatakiwa kufika mbele ya tume now as soon as possible
 
Waliomteka si wapu.mbavu kiasi hicho, kupitia imei ni rahisi kutrap phone location, kitu ambacho hakuna kidnapper yoyote ambae yupo tayari kukifanya. Roma namheshimu sana.
kwahio kajiteka?
 
Tangu lile bifu la V money na shilole - imekua ngumu sana kuwaamini wasanii wa kizazi hiki, wanatanguliza kiki ndio ngoma inafuata.

Trust me kama mtu anaweza kusoma text za WhatsApp basi yupo salama, baxhite asingekubali bro Roma acharge simu, anunue bundle na aingie mitandao ya kijamii.

Kama mtu kasoma text za WhatsApp asingeshindwa kuandika post IG japo kusema "bashite ananiua". Tufanyeni muziki mzuri kiki tumwachie morapa
Unajuaje kuwa anayesoma ni Roma?
 
Wasanii nendeni kwa mwenyekiti wa ulinzi wa mkoa haya mambo yametokea katika mkoa wake, hamasishaneni mkutane na mtoe tamko la kumtaka mwenyekiti wa ulinzi mkoa kutoa taarifa ya hawa vijana.

Pili, azimieni kumuona raisi mstaafu Kikwete awasaidie najua yeye ni mpenzi wa wasanii ni mtu mwenye upendo anaweza toa msaada,
inabidi kukomaa na kupaza sauti kwa umoja wenu.
#bringbackROMA#
 
Kama simu yake inapatikana, ninadhani kupitia wamiliki wa mtandao huo, wanaweza kusema simu hiyo ipo sehemu gani. Hivyo, kuwa rahisi kwa vyombo vya usalama kumpata, endapo watakuwa na dhamira hiyo. Ni wazo tuu.
 
Waliomteka si wapu.mbavu kiasi hicho, kupitia imei ni rahisi kutrap phone location, kitu ambacho hakuna kidnapper yoyote ambae yupo tayari kukifanya. Roma namheshimu sana.
Wakati mwingine acha ujuaji mwingi, kwahiyo hiyo IMEI ya simu anayo mkewe au hao walioko na hiyo simu?

Hivi usalamu wa taifa wetu unawaona smart sana?
 
Wasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
Nashindwa kukutukana nisije kupata ban ya bure ila Mungu anakuona. Lini waliacha kupaza sauti au kumbukumbu zako umeziziba na kitu kinatokea chini baada ya kushiba. Kumbuka Enzi za Wagosi wa Kaya na Wimbo wao Manurse, Kumbuka Ndiyo Mzee ya Prof Jay, Kumbuka wimbo Mjomba na nyingi sana.
 
Kama simu zake zinaita basi ni rahisi kumpata maana wanaangalia location
Usinikumbushe yale ya Malaysian airline. ndugu simu zao zinaita ila hazipokelewi, mpaka leo hakuna cha ndege wala hata mkono wa mtu.

Kama ametekwa na serikali, kumpata akiwa hai au maiti ni muujiza.
 
Ya Aleppo yalianza hivihivi sasa hawa wanaimba tu wanafanyiwa haya naanza kuelewa sasa kwanini sikuizi matamko hamna malaika mkuu anaabudiwa yeye na malaika mwana
 
Hapa Nitakuletea Habari zote kutoka kwa watu maarufu kutokana na tukio hili la kutekwa kwa msanii ita involve dunia nzima Tumia browser ya kawaida zitakua zikisomeka vizuri.

Ameyah Debrah -Ghana

Wakili Albert Msando-Tanzania

Joakhim Mabula -Tanzania

Maria -Tanzania

Idris Sultan-Tanzania

Willy Tuva-Kenya

Wema Sepetu- Tanzania

Diamond- Tanzania/South Africa

Mwanafalsafa-Tz

Tanzania tunaishi vizuri ila hawa TISS_RAPA wanataka kuvuruga nchi,Watambue wananchi wakichoka wataanza kuwachinja hao TISS_RAPA M1 baada ya m1.
Samahani hivi ni TISS au BISS? Mi TISS siijui! Ila nasikia siku hizi kuna Bashite Intelligence Security Services! It is no longer about Tanzania security, it is all about Bashite security! Otherwise Tanzania is equated to Bashite! Sad and it can be denied in words, but uphold in practice in front of our eyes!
 
Wasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
We ngozi kweli nchi inanyooshwa kwa kuteka watu wasio na hati huku wala rushwa wanaachwa mfoji veti anaduda aise au kwa vile alijakukuta ndio maana unaandika hivyo
 
Tangu lile bifu la V money na shilole - imekua ngumu sana kuwaamini wasanii wa kizazi hiki, wanatanguliza kiki ndio ngoma inafuata.

Trust me kama mtu anaweza kusoma text za WhatsApp basi yupo salama, baxhite asingekubali bro Roma acharge simu, anunue bundle na aingie mitandao ya kijamii.

Kama mtu kasoma text za WhatsApp asingeshindwa kuandika post IG japo kusema "bashite ananiua". Tufanyeni muziki mzuri kiki tumwachie morapa
Text message za whatsaap zimesomwa kwenye simu yake haina maana kuwa amezisoma yeye! Wakikukamata wanaichukua Simu yako! wanasoma message zako nk. Kwa usalama mwondoeni kwenye magroup yenu ya whatsaap vinginevyo siri zenu zote mnazotupia kwenye whatsaap wanazinyaka!
 
Back
Top Bottom