carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Haya ni maajabu ya tz pekeeNAJIULIZA INAKUAJE MTU ANAEVUNJA SHERIA MTANDAON ANAPATIKANA NA KUKAMATWA LAKN MTU ALIEPOTEA NA CMU INAITA INASHINDWA KUJULIKANA IPO WAP?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni maajabu ya tz pekeeNAJIULIZA INAKUAJE MTU ANAEVUNJA SHERIA MTANDAON ANAPATIKANA NA KUKAMATWA LAKN MTU ALIEPOTEA NA CMU INAITA INASHINDWA KUJULIKANA IPO WAP?
Mpaka sasa nimeamini Bashite anahusika kwenye hili jambo.
Yaani hapo ndio umefikiria kwa uwezo wako wote mpaka mwisho shezy taip...Tangu lile bifu la V money na shilole - imekua ngumu sana kuwaamini wasanii wa kizazi hiki, wanatanguliza kiki ndio ngoma inafuata.
Trust me kama mtu anaweza kusoma text za WhatsApp basi yupo salama, baxhite asingekubali bro Roma acharge simu, anunue bundle na aingie mitandao ya kijamii.
Kama mtu kasoma text za WhatsApp asingeshindwa kuandika post IG japo kusema "bashite ananiua". Tufanyeni muziki mzuri kiki tumwachie morapa
Sijui baashite ndo nani. Ila ulimwengu una mengi sana. Hatujui maisha ya Roma anavyoyaendesha na hata nani anamdai au hamdai. Matendo yake naladhalika. Kutekwa ni jambo baya. Lakini tujue pia kama ni siasa. Ni Rahisi sana mtu kutumia mwanya huu kuwadaka wananchi majibu na maamuzi mbele kama nyie. So anacheka na ndo mnazidi kumfanya ajihamini au wajiamini. Kama maisha yangekuwa rahisi hivyo du Lisu asingekuwepo. Wala mbowe wala Seif nk. Hukumu mbele mtafanya Roma apotezwe mana kama ni majambazi basi mmeshawapa njia. Public sympathy ni mbaya sana kwenye jambo serious na linalohusu maisha ya watu. Tubakize maneno.