Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Na wewe ni idiotWasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
Yaan unawapangia wasanii cha kuimba....hivi hakuna wasanii ambao waliimba kuhusu ufisadi? endelea kusikiliza taarabu na mashosti wenzio