Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Wakutoa idhini ya kuangalia location pengine ndo wahusika wa kupotea kwake sasa unatarajia nini hapo zaidi ya sintofahamu. #vivabashite#vivasizonje#Kama simu zake zinaita basi ni rahisi kumpata maana wanaangalia location
Uwezi ukawaita watanzania/wasanii wenzako ni idiot unatakiwa kufika mbele ya tume now as soon as possibleWasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
kwahio kajiteka?Waliomteka si wapu.mbavu kiasi hicho, kupitia imei ni rahisi kutrap phone location, kitu ambacho hakuna kidnapper yoyote ambae yupo tayari kukifanya. Roma namheshimu sana.
Well said [emoji106]Wakutoa idhini ya kuangalia location pengine ndo wahusika wa kupotea kwake sasa unatarajia nini hapo zaidi ya sintofahamu. #vivabashite#vivasizonje#
Unajuaje kuwa anayesoma ni Roma?Tangu lile bifu la V money na shilole - imekua ngumu sana kuwaamini wasanii wa kizazi hiki, wanatanguliza kiki ndio ngoma inafuata.
Trust me kama mtu anaweza kusoma text za WhatsApp basi yupo salama, baxhite asingekubali bro Roma acharge simu, anunue bundle na aingie mitandao ya kijamii.
Kama mtu kasoma text za WhatsApp asingeshindwa kuandika post IG japo kusema "bashite ananiua". Tufanyeni muziki mzuri kiki tumwachie morapa
Haha anasubir tu akipatikana awe wa kwanza kwenda kumpa polehamorapo hajaandika chochote?
Haha anasubir tu akipatikana awe wa kwanza kwenda kumpa pole
Wakati mwingine acha ujuaji mwingi, kwahiyo hiyo IMEI ya simu anayo mkewe au hao walioko na hiyo simu?Waliomteka si wapu.mbavu kiasi hicho, kupitia imei ni rahisi kutrap phone location, kitu ambacho hakuna kidnapper yoyote ambae yupo tayari kukifanya. Roma namheshimu sana.
Nashindwa kukutukana nisije kupata ban ya bure ila Mungu anakuona. Lini waliacha kupaza sauti au kumbukumbu zako umeziziba na kitu kinatokea chini baada ya kushiba. Kumbuka Enzi za Wagosi wa Kaya na Wimbo wao Manurse, Kumbuka Ndiyo Mzee ya Prof Jay, Kumbuka wimbo Mjomba na nyingi sana.Wasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
Usinikumbushe yale ya Malaysian airline. ndugu simu zao zinaita ila hazipokelewi, mpaka leo hakuna cha ndege wala hata mkono wa mtu.Kama simu zake zinaita basi ni rahisi kumpata maana wanaangalia location
Samahani hivi ni TISS au BISS? Mi TISS siijui! Ila nasikia siku hizi kuna Bashite Intelligence Security Services! It is no longer about Tanzania security, it is all about Bashite security! Otherwise Tanzania is equated to Bashite! Sad and it can be denied in words, but uphold in practice in front of our eyes!Tanzania tunaishi vizuri ila hawa TISS_RAPA wanataka kuvuruga nchi,Watambue wananchi wakichoka wataanza kuwachinja hao TISS_RAPA M1 baada ya m1.
We ngozi kweli nchi inanyooshwa kwa kuteka watu wasio na hati huku wala rushwa wanaachwa mfoji veti anaduda aise au kwa vile alijakukuta ndio maana unaandika hivyoWasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
Text message za whatsaap zimesomwa kwenye simu yake haina maana kuwa amezisoma yeye! Wakikukamata wanaichukua Simu yako! wanasoma message zako nk. Kwa usalama mwondoeni kwenye magroup yenu ya whatsaap vinginevyo siri zenu zote mnazotupia kwenye whatsaap wanazinyaka!Tangu lile bifu la V money na shilole - imekua ngumu sana kuwaamini wasanii wa kizazi hiki, wanatanguliza kiki ndio ngoma inafuata.
Trust me kama mtu anaweza kusoma text za WhatsApp basi yupo salama, baxhite asingekubali bro Roma acharge simu, anunue bundle na aingie mitandao ya kijamii.
Kama mtu kasoma text za WhatsApp asingeshindwa kuandika post IG japo kusema "bashite ananiua". Tufanyeni muziki mzuri kiki tumwachie morapa