Tangu lile bifu la V money na shilole - imekua ngumu sana kuwaamini wasanii wa kizazi hiki, wanatanguliza kiki ndio ngoma inafuata.
Trust me kama mtu anaweza kusoma text za WhatsApp basi yupo salama, baxhite asingekubali bro Roma acharge simu, anunue bundle na aingie mitandao ya kijamii.
Kama mtu kasoma text za WhatsApp asingeshindwa kuandika post IG japo kusema "bashite ananiua". Tufanyeni muziki mzuri kiki tumwachie morapa
Hapa mtu wa kukamatwa akasema walipo akina roma ni makonda. Swali linakuja je ni nani atamvisha paka kengere?
A cha upumbavu we we..
Text message za whatsaap zimesomwa kwenye simu yake haina maana kuwa amezisoma yeye! Wakikukamata wanaichukua Simu yako! wanasoma message zako nk. Kwa usalama mwondoeni kwenye magroup yenu ya whatsaap vinginevyo siri zenu zote mnazotupia kwenye whatsaap wanazinyaka!
Wakati mwingine acha ujuaji mwingi, kwahiyo hiyo IMEI ya simu anayo mkewe au hao walioko na hiyo simu?
Hivi usalamu wa taifa wetu unawaona smart sana?
Trust me pia whatsapp inaonesha text imesomwa ila haioneshi nani ameisoma.Una uhakika gani kama ni Roma anayesoma?
Kuna ke.nge hua wanajihisi wanajua kila kitu. Haya sasa kapatikana - ngoja aseme kilichomsibu ndio mtajua kua nyinnyi nyote ni morons.Yaani hapo ndio umefikiria kwa uwezo wako wote mpaka mwisho shezy taip...
Una uhakika gani kuwa anaesoma Meseji WhatsApp kuwa ni Roma na sio jamaa waliomteka?!
Sio heshima kumwita binadamu mwenzako kenge..Kuna ke.nge hua wanajihisi wanajua kila kitu. Haya sasa kapatikana - ngoja aseme kilichomsibu ndio mtajua kua nyinnyi nyote ni morons.
Akipatikana ni ushindi kwa nguvu ya social media, not otherwise!Kuna ke.nge hua wanajihisi wanajua kila kitu. Haya sasa kapatikana - ngoja aseme kilichomsibu ndio mtajua kua nyinnyi nyote ni morons.
Hua nina akiba ya maneno boss. Humu humu JF Mmenitukana mpu.mbavu, mshenzi, boya, mjuaji... mimi nikijibu nakuwa tapeli. Ebu kafie mbele!!Sio heshima kumwita binadamu mwenzako kenge..
Alafu lugha hizi wanatoa vijana wa vijiweni na matapeli sio wale wanaojitangaza ni matajiri humu JF..
hehehehehe tajiri rafiki yake na Strive Masiyiwa..Hua nina akiba ya maneno boss. Humu humu JF Mmenitukana mpu.mbavu, mshenzi, boya, mjuaji... mimi nikijibu nakuwa tapeli. Ebu kafie mbele!!
Mpumbavu sio tusi.Hua nina akiba ya maneno boss. Humu humu JF Mmenitukana mpu.mbavu, mshenzi, boya, mjuaji... mimi nikijibu nakuwa tapeli. Ebu kafie mbele!!
Nashukuru. Mpumbavu si tusi basi niseme wewe pamoja nq mama yako na baba yako wote ni wapumbavu. Sijisikii vby kuwaita tena ninyi ni wapumbavu.Mpumbavu sio tusi.
Na sijisikii vibaya kukuita tena wewe ni Mpumbavu.
Nashukuru. Mpumbavu si tusi basi niseme wewe pamoja nq mama yako na baba yako wote ni wapumbavu. Sijisikii vby kuwaita tena ninyi ni wapumbavu.
Mkuu kuna tatizo gani nikimuita babako na mamako MPUMBAVU. Mimi nakuambia wewe tena BABA NA MAMA YAKO WAPUMBAVU KABISA. Sitaki Upumbavu wenu.Ontario unatatizo gani ukiitwa MPUMBAVU..sasa mimi kuambia wewe tena UMPUMBAVU KABISA WEWE.
Hua nina akiba ya maneno boss. Humu humu JF Mmenitukana mpu.mbavu, mshenzi, boya, mjuaji... mimi nikijibu nakuwa tapeli. Ebu kafie mbele!!
Huyu anajiita fisadi blah blah, hakuna kitu nitakachopost asiniquote kwa negativity. Anaishi maisha ya hofu mno, na ni mshamba wa kupindukia.Hivi hujastukia tu?
Hapo ushadhaniwa/ ushahisiwa kuwa wewe ndo mimi etiπππππππ.
Matatizo ya obsession ndo hayo sasa.
Mtu anakuwa obsessed na mtu fulani hadi inapelekea huyo mtu mwenye obsession kuanza kudhani na/ au kuhisi kila mtu ni huyo ambaye ana obsession naye.
Si ajabu na hapa utaambiwa eti umejikwoti mwenyewe.
Huyu anajiita fisadi blah blah, hakuna kitu nitakachopost asiniquote kwa negativity. Anaishi maisha ya hofu mno, na ni mshamba wa kupindukia.
Sasa nimeelewa!! Hahaaa.Mwenzio anadhania kuwa wewe ndo mimi.
Au wewe hilo hujaliona/ hujalistukia bado?
Huoni kama vitu vingine anavyoviandika akikukwoti kwako havi make sense?
Wewe ni Msukuma kwani?
Sasa nimeelewa!! Hahaaa.
Mara kadhaa nimegundua huyu kijana ananihusisha na mambo ambayo kwangu haya_make sense. Sasa nimekupata!