Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Naona anaendelea na operation ya kumlinda bashite wa koromije, analipwa bei gani?
 
Yanaanzaga hivi mara yanakuwa kama ya 2 o'clock
 
A cha upumbavu we we..
Tangu lile bifu la V money na shilole - imekua ngumu sana kuwaamini wasanii wa kizazi hiki, wanatanguliza kiki ndio ngoma inafuata.

Trust me kama mtu anaweza kusoma text za WhatsApp basi yupo salama, baxhite asingekubali bro Roma acharge simu, anunue bundle na aingie mitandao ya kijamii.

Kama mtu kasoma text za WhatsApp asingeshindwa kuandika post IG japo kusema "bashite ananiua". Tufanyeni muziki mzuri kiki tumwachie morapa
 
Hapa mtu wa kukamatwa akasema walipo akina roma ni makonda. Swali linakuja je ni nani atamvisha paka kengere?

kwa nini mkuu?

au na wewe ni walewale waswahili wajinga ambao wanapenda kuhisi tu

maadui wa roma wanaweza wakafanya jambo, ili akili zako ziwaze kuwa ni makonda

unajua ujinga ni mzigo?

taifa limekufa kuwa na hopeless people
 
A cha upumbavu we we..

Text message za whatsaap zimesomwa kwenye simu yake haina maana kuwa amezisoma yeye! Wakikukamata wanaichukua Simu yako! wanasoma message zako nk. Kwa usalama mwondoeni kwenye magroup yenu ya whatsaap vinginevyo siri zenu zote mnazotupia kwenye whatsaap wanazinyaka!

Wakati mwingine acha ujuaji mwingi, kwahiyo hiyo IMEI ya simu anayo mkewe au hao walioko na hiyo simu?

Hivi usalamu wa taifa wetu unawaona smart sana?

Trust me pia whatsapp inaonesha text imesomwa ila haioneshi nani ameisoma.Una uhakika gani kama ni Roma anayesoma?

Yaani hapo ndio umefikiria kwa uwezo wako wote mpaka mwisho shezy taip...

Una uhakika gani kuwa anaesoma Meseji WhatsApp kuwa ni Roma na sio jamaa waliomteka?!
Kuna ke.nge hua wanajihisi wanajua kila kitu. Haya sasa kapatikana - ngoja aseme kilichomsibu ndio mtajua kua nyinnyi nyote ni morons.
 
Kuna ke.nge hua wanajihisi wanajua kila kitu. Haya sasa kapatikana - ngoja aseme kilichomsibu ndio mtajua kua nyinnyi nyote ni morons.
Sio heshima kumwita binadamu mwenzako kenge..

Alafu lugha hizi wanatoa vijana wa vijiweni na matapeli sio wale wanaojitangaza ni matajiri humu JF..
 
Kuna ke.nge hua wanajihisi wanajua kila kitu. Haya sasa kapatikana - ngoja aseme kilichomsibu ndio mtajua kua nyinnyi nyote ni morons.
Akipatikana ni ushindi kwa nguvu ya social media, not otherwise!
 
Sio heshima kumwita binadamu mwenzako kenge..

Alafu lugha hizi wanatoa vijana wa vijiweni na matapeli sio wale wanaojitangaza ni matajiri humu JF..
Hua nina akiba ya maneno boss. Humu humu JF Mmenitukana mpu.mbavu, mshenzi, boya, mjuaji... mimi nikijibu nakuwa tapeli. Ebu kafie mbele!!
 
Hua nina akiba ya maneno boss. Humu humu JF Mmenitukana mpu.mbavu, mshenzi, boya, mjuaji... mimi nikijibu nakuwa tapeli. Ebu kafie mbele!!
hehehehehe tajiri rafiki yake na Strive Masiyiwa..

Najichekea tu hapa.. Bila shaka utakuwa msukuma wewe..
 
Hua nina akiba ya maneno boss. Humu humu JF Mmenitukana mpu.mbavu, mshenzi, boya, mjuaji... mimi nikijibu nakuwa tapeli. Ebu kafie mbele!!
Mpumbavu sio tusi.

Na sijisikii vibaya kukuita tena wewe ni Mpumbavu.
 
Nashukuru. Mpumbavu si tusi basi niseme wewe pamoja nq mama yako na baba yako wote ni wapumbavu. Sijisikii vby kuwaita tena ninyi ni wapumbavu.

Ontario unatatizo gani ukiitwa MPUMBAVU..sasa mimi kuambia wewe tena UMPUMBAVU KABISA WEWE.
 
Ontario unatatizo gani ukiitwa MPUMBAVU..sasa mimi kuambia wewe tena UMPUMBAVU KABISA WEWE.
Mkuu kuna tatizo gani nikimuita babako na mamako MPUMBAVU. Mimi nakuambia wewe tena BABA NA MAMA YAKO WAPUMBAVU KABISA. Sitaki Upumbavu wenu.
 
Hua nina akiba ya maneno boss. Humu humu JF Mmenitukana mpu.mbavu, mshenzi, boya, mjuaji... mimi nikijibu nakuwa tapeli. Ebu kafie mbele!!

Hivi hujastukia tu?

Hapo ushadhaniwa/ ushahisiwa kuwa wewe ndo mimi eti😀😀😀😀😀😀😀.

Matatizo ya obsession ndo hayo sasa.

Mtu anakuwa obsessed na mtu fulani hadi inapelekea huyo mtu mwenye obsession kuanza kudhani na/ au kuhisi kila mtu ni huyo ambaye ana obsession naye.

Si ajabu na hapa utaambiwa eti umejikwoti mwenyewe.
 
Huyu anajiita fisadi blah blah, hakuna kitu nitakachopost asiniquote kwa negativity. Anaishi maisha ya hofu mno, na ni mshamba wa kupindukia.
 
Huyu anajiita fisadi blah blah, hakuna kitu nitakachopost asiniquote kwa negativity. Anaishi maisha ya hofu mno, na ni mshamba wa kupindukia.

Mwenzio anadhania kuwa wewe ndo mimi.

Au wewe hilo hujaliona/ hujalistukia bado?

Huoni kama vitu vingine anavyoviandika akikukwoti kwako havi make sense?

Wewe ni Msukuma kwani?
 
Mwenzio anadhania kuwa wewe ndo mimi.

Au wewe hilo hujaliona/ hujalistukia bado?

Huoni kama vitu vingine anavyoviandika akikukwoti kwako havi make sense?

Wewe ni Msukuma kwani?
Sasa nimeelewa!! Hahaaa.

Mara kadhaa nimegundua huyu kijana ananihusisha na mambo ambayo kwangu haya_make sense. Sasa nimekupata!
 
Sasa nimeelewa!! Hahaaa.

Mara kadhaa nimegundua huyu kijana ananihusisha na mambo ambayo kwangu haya_make sense. Sasa nimekupata!

He is severely obsessed with me.

Nadhani anadhania wewe ndo mimi kutokana na mchango wako kwenye uzi mmoja hivi uliokuwa unanizungumzia mimi.

Wewe ulikuja na ukachangia kwa kuonyesha unaniunga mkono kwa kiasi flani.

Hapo ndo akadhani kuwa wewe ndo mimi na kwamba nimekuja na ID nyingine.

Wewe endelea tu ku pay attention na utaona anakuhusisha na vitu ambavyo kwako havita make sense kabisa yaani.

Kwa mfano hapo juu nimeoma kamtaja sijui Strive Masi nani sijui.....who the hell is he?

Wewe unamjua huyo Strive Masiyiwa?
 
Back
Top Bottom